Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Dunia ni uwanja wa mapambano; unakuta huyu anataka kuwa na yule, na yule anataka kuwa na huyu.
Sasa kumekuwa na mbinu kwa baadhi ya wanawake tunaotembea nao; siku ya kufanya tendo la ndoa, watakuja na kitambaa, kinaweza kuwa cha taulo au cha aina yoyote ile.
Baada ya kufikia mshindo, atachukua kitambaa kile alichokuja nacho na ataanza kukufuta, huku wewe ukihisi ni sehemu ya mahaba.
Baada ya kuagana, atachukua kitambaa hicho na kukipeleka kwa wananzengo, na baada ya hapo wewe unakuwa unamsikiliza yeye tu, na mkizinguana anaweza kusababisha mashine yako isisimame au isiweze ku-perform mechi za nje.
Lakini yote haya yanatokea, hasa pale upande mmoja utakapopenda zaidi kuliko upande mwingine.
Muhimu ni kuwa makini na uliyenaye.