Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
We oa inatosha Mkuu sio kila mtu anahitaji kukaa na Mwanamke hiyo Kazi ya kuosha sufuria mbona ni ya kawaida Sana. Ukilinganisha na kuishi Mwanamke ambaye Hana content kichwaniUkweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili.
You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's rubbish mindset.
Being single in a ghetto and doing some cooking stuffs is for stupid men only.
Truth be said that's it,
Kichwamoto is on fire against fellas.
Bugia kama bagia.
Kupika ndio content.mkuu🤣🤣🤣 au extra curricular service?We oa inatosha Mkuu sio kila mtu anahitaji kukaa na Mwanamke hiyo Kazi ya kuosha sufuria mbona ni ya kawaida Sana. Ukilinganisha na kuishi Mwanamke ambaye Hana content kichwani
Ukweli usemwe japo kama yupo comfortable bado ni mwehu kwa kuwa nje na desturiMwanamume anayeogopa kuo sio mwanamume kamili
Yani ana mapungufu na ndio maana anaogopa kuishi na mwanamke
Sasa Kati ya Mwanamke na Mwanaume Nani anajua kupika?Kupika ndio content.mkuu🤣🤣🤣 au extra curricular service?
Contestable issue depends on context,Sasa Kati ya Mwanamke na Mwanaume Nani anajua kupika?
Jibu swaliContestable issue depends on context,
18yrs na kuendeleaunatakiwa kuoa ukiwa namiaka mingapi mkuu.?
Haiko hivyo Iko in perspectives there has to be dimensions for itJibu swali
wee nikichaa.18 aoe Ili agundue nini?leta jibu lingine.18yrs na kuendelea
Mwanakapumbu mwanakabodabodaSasa kama unaoa ili usaidiwe kupika basi unashida mzee ndio ninyi kesho mnakuja hapa kulalamika oh mke wangu anamchepuko bodaboda
Jitahid utampata si unataka mke wa kukupikia tu nenda ata sokoni pale wapoMwanakapumbu mwanakabodaboda
Nipe dada yako nimuoe anioshee vyomboHaiko hivyo Iko in perspectives there has to be dimensions for it