Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili.

You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's rubbish mindset.

Being single in a ghetto and doing some cooking stuffs is for stupid men only.

Truth be said that's it,

Kichwamoto is on fire against fellas.

Bugia kama bagia.
Kwani kuoa ni lazima?
 
Hata ukioa mwanamke akikataa kupika utawapikia wanao wale huwezi shindana na mjinga,

ni heri kujizoesha kupika sahivi ukiwa bachelor ,kabla hazijaja nyakati za hatari ambapo utatelekezewa watoto wadogo na mwanamke mjinga na mpumbavu alafu ukawanunulie chakula migahawani badala ya kuwapikia
 
Hao kataa ndoa wengi wao bado wanaishi kwao na kwa ndugu. Mwanaume kamili huwezi kukataa ndoa
Kwani kuoa ni lazima?
Huwa mnafikiria kuoa ni jambo jepesi sana km unaenda kununua nyanya sokoni?
Kuna jamaa hapa ninapoishi alikuwa anapiga kelele kama za kuoa, kachapiwa mke wake na sasa ni single.
Wanawake wenyewe hawa 50/50, ndani anataka yeye ndiyo awe na sauti. Mwanamke anasikiliza ndugu zake.
Bora kutafuta hela, mali na watoto (piga mimba chukua watoto)
 
Me hata sijui
Kuna jamaa alikuwa ameoa, anatupigia kelele za kuoa.
Mke wake aligongwa, wakaachana na sasa yupo single. Huwa namuangalia tu
Kuna mwingine nilimgongea mke wangu halafu ndiyo huwa ananishauri nioe.
Huwa nashindwa kuelewa maana ya kuoa. Mwanamke ameolewa lkn anagongwa nje halafu unajiona ufahari umeoa.
 
Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili.

You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's rubbish mindset.

Being single in a ghetto and doing some cooking stuffs is for stupid men only.

Truth be said that's it,

Kichwamoto is on fire against fellas.

Bugia kama bagia.
Hahahahah
 
Kwani kuoa ni lazima?
Huwa mnafikiria kuoa ni jambo jepesi sana km unaenda kununua nyanya sokoni?
Kuna jamaa hapa ninapoishi alikuwa anapiga kelele kama za kuoa, kachapiwa mke wake na sasa ni single.
Wanawake wenyewe hawa 50/50, ndani anataka yeye ndiyo awe na sauti. Mwanamke anasikiliza ndugu zake.
Bora kutafuta hela, mali na watoto (piga mimba chukua watoto)
Unapiga mimba unachukua watoto wako, unawapikia tuu fresh huku unawaina wanakuakua . wakianza kukua dingi unawafundisha kupika wakijua unastaaff sasa wanao wanakua wanakupikia unakula matunda yako kilaini sana,.

Unanunua na kigari siku moja moja dingi unatoka out na machalii (wanao) unaenda kula nao bata . Na hao ndiyo ndugu zako maisha safi

Kuliko kuoa mwanawake anayepiga makelee tuu na hata kupika na kupasi nguo hajui.
 
Wengine kufua, kuosha vyombo, kupika n.k tumeanzia nyumbani, sasa hoja eti nioe aje kunifanyia hayo mambo hapo juu na ukute namshinda na yeye.

Nahitaji kitu cha ziada ya hayo, wengine kutokuoa ni hobby so live your life...
 
😅 kwahiyo mwanangu kula ugali na maharage Kila siku huchoki wewe .....hapana msimamo wetu ni ule ule HATUOI ila tutawatumia 😅😅 sisi sio milima buana
 
Back
Top Bottom