Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Unapiga mimba unachukua watoto wako, unawapikia tuu fresh huku unawaina wanakuakua . wakianza kukua dingi unawafundisha kupika wakijua unastaaff sasa wanao wanakua wanakupikia unakula matunda yako kilaini sana,.

Unanunua na kigari siku moja moja dingi unatoka out na machalii (wanao) unaenda kula nao bata . Na hao ndiyo ndugu zako maisha safi

Kuliko kuoa mwanawake anayepiga makelee tuu na hata kupika na kupasi nguo hajui.
Wanawake wa sasa ni pasua kichwa.
 
Wanaume waliooa wapo insecure haswaa...ukiona unalazimisha watu waoe wakat kweny maisha yako hakupunguzii Wala kuongeza kitu chochote fanya ujitafakari ...nnachoamini waliooa wanaona kama ambao hatujaoa tunawagonga wake zao na mbaya zaid wajua kabisa ndo wanawahudumia kwa Kila kitu ila ndo Ivo masela wanaipiga na wakitosheka wanapita hadi nyuma kwa mpalange....kwa maana hyo basi ambao hamjaoa wavumilieni tu...wanapita kipnd kigumu sanaa
 
Huko kwenye ndoa kuna nini ? Mbona kama tunalazimishana sasa? , tangu lini m bongo akuitie kitu chenye manufaa , sasa mmegeuka kama matapeli wa q net , ukiona unaitiwa fursa tambua wewe ndio fursa .
 
Hamna Anayepinga Kuoa ....Issue tunapinga Kulazimishana ..Misukumo imekuwa mingi


Shida Nini kwani Mahari si natoa Mimi ama ??! [emoji38]

Ndoa za Sasa bila Utafiti Kazi Bure
 
Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili.

You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's rubbish mindset.

Being single in a ghetto and doing some cooking stuffs is for stupid men only.

Truth be said that's it,

Kichwamoto is on fire against fellas.

Bugia kama bagia.
Alaa kumbe wengine mnaoa ili mupate watu wa kukupikieni?
 
Mwanamume anayeogopa kuo sio mwanamume kamili

Yani ana mapungufu na ndio maana anaogopa kuishi na mwanamke
Yoyote mwenye akili hawezi kuishi na Mwanamke,ukiona wewe umeweza kuishi na Mwanamke jua una akili za kawaida.Kumbuka 99% ya Wanaume Duniani wana akili za kawaida ndio maana tunaweza kuishi na mwanamke.
 
Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili.

You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's rubbish mindset.

Being single in a ghetto and doing some cooking stuffs is for stupid men only.

Truth be said that's it,

Kichwamoto is on fire against fellas.

Bugia kama bagia.
🤣🤣🤣Wewe shida yako nini ...oa weka mwanamke ndani ishi nae vizuri yakikukuta ni wewe, we ya wenzako yanakuhusu Nini....🤣
 
Duh aisee yaani me hata nikioa kwa jinsi navyopenda kupika lazima niwe napika...najisikia amani sana kukatakata vitunguu,hoho,nyanya,karoti,biringanya, nyanya chungu kisha kuzimwagia kwenye nyama,samaki au dagaa...
 
Hao kataa ndoa wengi wao bado wanaishi kwao na kwa ndugu. Mwanaume kamili huwezi kukataa ndoa
Mm najitegemea binafc ni mwaka wa 3 huu, kiuchumi nipo vzr tu, Sina tatzo lolote la nguvu za kiume wala Sina historia yyte ya kuumizwa na mwanamke Ila "suala ndoa limenikalia kushoto"na nipo kwenye mahusiano na bitches kadhaa wanawake kila muda ninapohtaji nakula.

Kikubwa ninachopanga ni kupata watoto wangu kadhaa na mm niwe na historia ya kuitwa baba hp duniani

Nakuwa na furaha na Amani zaidi kuishi peke yng mpk ntakapoamua kupata watoto na furaha yng ndipo itakapokua imekamilika
 
Back
Top Bottom