Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Yoyote mwenye akili hawezi kuishi na Mwanamke,ukiona wewe umeweza kuishi na Mwanamke jua una akili za kawaida.Kumbuka 99% ya Wanaume Duniani wana akili za kawaida ndio maana tunaweza kuishi na mwanamke.
Nilikuwa sijui kama baba yako hana akili
 
Kwani ndoa ni ya kulazimisha? Inakujaga yenyewe mtu usioe Kwa kukurupukia na presha za jamiii,kumbuka hayo ni maisha yako. Mtapoanza kuchomana na gunia za mkaa hakuna atakayekusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo sababu hufanya wengi waliooa wadharaulike na kuteseka na maisha, Huwezi ukawa na akili ndogo hivi ukaheshimika.
 
Ukweli usemwe, mwanaume yeyote ambae yupo maghettoni na anahangaika na Masufuria kupika ni mjinga wa kutupwa. Akili ni nywele ndio nao hao wakataa ndoa wanaopika na kuhangaikia na Masufuria huko maghetoni ni masikini wa akili.

You hate toilets yet you're the most frequent toilet user, that's rubbish mindset.

Being single in a ghetto and doing some cooking stuffs is for stupid men only.

Truth be said that's it,

Kichwamoto is on fire against fellas.

Bugia kama bagia.
Binafsi napenda kujipikia chakula changu na sina mpango wa kuoa
 
Unaoa Mwanamke kwa ajil ya kupika na kuosha vyombo?

Wazee em tuendelee na KAMPENI yetu ya kukataa UTAPELI.. WIZI.. UDANGANYIFU


TUKATAE NDOA
 
Kuoa Raha Sana.
Kupikiwa chakula kitamu
Na uhakika wa chakula Cha usiku.
Lkn pia ushauri wa bure kila siku.
 
Back
Top Bottom