Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huelewi hata ndoa ni nini?Hao kataa ndoa wengi wao bado wanaishi kwao na kwa ndugu. Mwanaume kamili huwezi kukataa ndoa
Mna kurupuka tu.
Kuishi na mwanamke sio lazima mfunge ndoa.
Kinacho pingwa hapa ni ndoa sio mwanamke.
Elewa.