Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Nyie ndio mnaliaga kama umbwa yakiwakuta,.Hawa mafeminist ndio unategemea uoe aje kukuoshea masufuria?Mkuu mambo yamebadilika.Kama wewe ulibahatika kuoa kienyeje kutoka bush na anaosha masufuria shukuru Mungu,ila jiandae maana atajanjaruka sio muda na utalia tuuu.Take it or leave it from the Dude who hv been there done that.
 
We oa inatosha Mkuu sio kila mtu anahitaji kukaa na Mwanamke hiyo Kazi ya kuosha sufuria mbona ni ya kawaida Sana. Ukilinganisha na kuishi Mwanamke ambaye Hana content kichwani
ktk ndoa content kichwani inayotegemewa zaidi ni ya mwanamume,sasa kama unadhani utamkuta mwanamke na content ya kukusaidia sana,endelea tu na kampeni ya kataa ndoa[emoji16][emoji16].
 
Duh aisee yaani me hata nikioa kwa jinsi navyopenda kupika lazima niwe napika...najisikia amani sana kukatakata vitunguu,hoho,nyanya,karoti,biringanya, nyanya chungu kisha kuzimwagia kwenye nyama,samaki au dagaa...
Kwamba ukirushia vitunguu na nyanya ukiskia ile shwaa shwaaa unajiskia amani sana sio mkuu? 🤣
 
We oa inatosha Mkuu sio kila mtu anahitaji kukaa na Mwanamke hiyo Kazi ya kuosha sufuria mbona ni ya kawaida Sana. Ukilinganisha na kuishi Mwanamke ambaye Hana content kichwani
kaka mwanamke mwenye content anakuaje?
ww oa mwanamke mwenye heshima,mchapakazi,mwenye hofu ya Mungu,msafi na mwenye roho nzuri
CONTENT ya mwanamke inasaidia nn katika ndoa?
 
mtoa mada narudi kwako .,,,,sikuelewi kabisa kwahyo unaoa ili uoshewe vyombo,upikiwe,ufuliwe?
 
Mjomba we kama ikiwezekana waoe wote mpaka wangu kama unamfaham nimerizika na masufuria na mabeseni ni kheri ya haya kuliko kutembea barabarani kusema peke yang kwa wanawke wasiojua wanataka nn
 
kuoa mwanamke ni kutojiamini na kuwa mvivu mwanaume kamili lazima ajue kupika,kufua na kuoshwa vyombo.si ambao hatujaoa tunajiamini tunaweza kusonga pasipo mwanamke,nyie ndo wale masikini wa kufikiri na wavivu eti palipo na mafanikio ujue kuna mwanamke nyuma yake acheni uvivu kuoa sio lazima
 
Ina onesha hata maana ya ndoa huelewi na hujui.

Mna kurupuka tu kuandika bila kufikiri?

Kuishi na mwanamke si lazima muwe na ndoa.

Mnaweza kuishi bila hata ya hiyo ndoa.

Ndoa ni ile kwenda kanisani au serikalini kusema kwamba ninyi wawili mnaishi pamoja, mkapewa vithibitisho.
 
Mwanamume anayeogopa kuo sio mwanamume kamili

Yani ana mapungufu na ndio maana anaogopa kuishi na mwanamke
Una elewa maana ya neno ndoa?

Kuishi na mwanamke sio ndoa.

Kwenda kanisani au serikalini kuthibitisha kuishi kwenu ndio ndoa hiyo.

Kinacho pingwa hapa ni ndoa, sio mwanamke.

Ndio maana hatusemi kataa mwanamke, Tunasema Kataa ndoa.

Ndoa ni utapeli.
 
Ngoja waje Kukuambia Kataa NDOA

Mimi huwa najiuliza hivi mwanaume kamili utasema Kataa ndoa [emoji1][emoji1]

Kuna shida mahali
Ua elewa maana ya neno ndoa?

Kuishi na mwanamke sio ndoa. Kwenda kanisani au serikalini kuthibitisha kuishi kwenu ndio ndoa hiyo.

Kinacho pingwa ni ndoa, sio mwanamke.

Hatusemi kataa mwanamke, Tunasema Kataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…