Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huelewi hata ndoa ni nini?Hao kataa ndoa wengi wao bado wanaishi kwao na kwa ndugu. Mwanaume kamili huwezi kukataa ndoa
Hata maana ya neno ndoa hujui.Umesema kweli mkuu! Na wasipo OA, WATAOLEWA!!
Mleta mada ni sawa na brother K wa kipindi cha futuhiAliekwambia Ndoa inakimbiliwa ni nani ?
Kabla Hujamtafuta Mwenzio Jitafute kwanza wewe ni nani?
Kuna wanawake Hata Kupika hawajui na Wala hawataki Kupika majumbani wakishaolewa tu ...!
Halafu wewe unahisi Ndoa ni Kupikiwa Nini [emoji1787][emoji23]!??
Take your time bro!
There are a lot than those stuffs in your head.
Mtoa Post you seems still young [emoji271] !
Kuchepuka kwa mwanamke hakutegemei elimu na kipato na hulka ya mtu tuSasa kama unaoa ili usaidiwe kupika basi unashida mzee ndio ninyi kesho mnakuja hapa kulalamika oh mke wangu anamchepuko bodaboda
Ina onesha hata maana ya ndoa huelewi.Asiyeoa anaolewa
Una elewa maana ya neno ndoa?Mtu mmoja akifanya Kampeni ya Kukataa Ndoa, kwa Imani kwamba Ndoa ni kitu kibaya ni Sawa.
Na mtu mwingine akihamasisha watu kuoa kwa kuonesha uzuri wa kuoa ni Sawa pia na asizuiwe.
Japo Ndoa ni Njema achilia Mbali Changamoto zake.
Kukataa Ndoa ni Uhuni hata kama utakuwa na sababu nzuri Kiasi gani.
Kuna watu wanakosa factDaah sijafanikiwa kuangalia hiyo picha vizuri ila kama ni wewe upo sawa sana harafu muhuni anasema kataa ndoa daah...
Rais wa zamani wa US Barack Obama alisema anapenda kuosha vyombo, ni kazi inayomtuliza mawazo.We oa inatosha Mkuu sio kila mtu anahitaji kukaa na Mwanamke hiyo Kazi ya kuosha sufuria mbona ni ya kawaida Sana. Ukilinganisha na kuishi Mwanamke ambaye Hana content kichwani
Upo sahihi sanaRais wa zamani wa US Barack Obama alisema anapenda kuosha vyombo, ni kazi inayomtuliza mawazo.
Na huyo ni mtu aliyeongoza dunia, ana mke na wafanyakazi, na mashine za kuosha vyombo.
Lakini anajua kujitegemea, anajua nidhamu ya kazi, anajua mke wake si mtumwa wake.
Huko kwetu mtu anaona akioa kapata mtu wa kupika, kuosha vyombo, kufua na kulea watoto.
Ndiyo maana umasikini hauishi.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.....! Sasa mimi na wewe asiyejua maana ya neno ndoa ni nani?Hata maana ya neno ndoa hujui.
Mna kurupuka tu kuandika.
Kuishi na mwanamke sio lazima mfunge ndoa.
Mnaweza kuishi bila hata hiyo ndoa.
Kwamba uki ishi pamoja na mwanamke hiyo automatically ni ndoa?Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.....! Sasa mimi na wewe asiyejua maana ya neno ndoa ni nani?
Mnawezaje kuishi maisha ya ndoa bila kufunga ndoa? Ndoa ndiyo hayo maisha ya wawili wanapoishi wawili kama mume na mke! Nadhani unachanga ndoa na harusi!
Ndoa ni tendo la kuishi pamoja kama mume na mke. Hii inahusisha kushiriki tendo la ndoa.
Aliyekurupuka kuandika ni wewe siyo mimi. Rudi shuleni.
Ni jambo la ajabu kidogo lakini katika ulimwengu wa kiroho tayari nyie ni mume na mke! Kiserikali pia ukiishi kindoa na mwanamke kwa muda wa kama sikusei miezi sita huyo ni mke wako tayari na ana haki zote kisheria kama mkeo!Kwamba uki ishi pamoja na mwanamke hiyo automatically ni ndoa?
We ni kichaa18yrs na kuendelea
Wengine tunataka ku cerebrate tu maisha na kwenye familia zenu watoto wetu wapoMwanamume anayeogopa kuo sio mwanamume kamili
Yani ana mapungufu na ndio maana anaogopa kuishi na mwanamke
Wewe oa tukutombee mkeAisie oa ataolewa