Utakubali tuanze na Baba ako ?Mwanaume asiekuwa na Pesa apigwe mawe akufe
It looks like a glimpseKu ku like tu ndio sifa zimwagwe namna hii🤣 shukrani 🤗
Yeah huwa naiwaza pepo lakini siijui ikoje ndio hii like yako imekuwa kama glimpse 😂Ila wewe lol 😆
Umenena lweli kabisa Mkuu, how come mwanamke anaandika uzi kama huu. Kamzarau mpaka baba yake. 😂Wanaume tuangalie wanawake wa kuoa
Wewe kijana🤣 haya bana take a 🫂It looks like a glimpse
Yeah huwa naiwaza pepo lakini siijui ikoje ndio hii like yako imekuwa kama glimpse 😂
Awww ❤ ❤ asante Ukhty japo mimi ni Kaka yako nina miaka 16 humu 😂Wewe kijana🤣 haya bana take a 🫂
Kumbe haya sawa kaka angu mkubwa 🤗Awww ❤ ❤ asante Ukhty japo mimi ni Kaka yako nina miaka 16 humu 😂
Soma posts zangu #205, #211 na #212Mwanaume asie na hela ni yupi na hiyo jamii unayoizungumzia ni ipi? Vijijini % kubwa wanalingana tu kiuchumi na gap ni dogo sana na bado wanaishi kwa kuheshimiana na kila kitu kinaenda. Tupe kiwango cha pesa ambacho kinatofautisha mwanaume asie na hela na ambae hana. Tanzania tuna mabilionea (in USD)wachache tu labda hata 10 hawafiki, kama unawareffer hao it means waliobaki wote hawana mvuto kwenye jamii? Mathalani Daktari tu wa binadamu anaweza kuonekana hana hela na kuna jamaa ameleta Uzi humu kua wana maslahi duni serikali iwaangalie, hapo unazungumzia mtu ambae basic salary yake ni 2.5M+, je huyu hana mvuto kwasababu kwenye jamii kwakua mapato yake hayafiki 20M per month? Huyu akiwa pale hospital ya Nzega DC atakua hana mvuto kwenye hiyo jamii ya watu wa Nzega? Tuje kwenye thamani na kusikilizwa kwenye jamii, mwanaume unaemzungumzia hapa anatakiwa kua na sh ngapi ili jamii imthamini na kumsikiliza na kumshirikisha kwenye maamuzi muhimu? Anyways hii maada sijaeielewa vizuri imekaaje, ila nachojua huwezi kubet na maisha ya mwanaume kwasababu kesho hujui atakua nani. Mwanaume anaweza maskini leo kesho akawa tajiri. Anaweza kua mtu wa kawaida leo kesho akaja kua mtu mkubwa tu and vice versa. Sasa mwanaume anadharauliwa vipi? Kuna jamii anaweza kua hana hiyo thamani lakini kwenye jamii yake akawa na heshima kubwa tu.
Marhabaaa 😄🤝Kumbe haya sawa kaka angu mkubwa 🤗
Babangu unamjua bwana mdogo au shobo?Utakubali tuanze na Baba ako ?
Jaman wasio na pesa wanajua kupeleka moto hadi unasahau mifuko yao, Mungu hakunyimi vyotee, nawapenda wanaume wasio na pesa kwenye hilo eneoJamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.
Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.
Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.
Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.
Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.
Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe