Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.

Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.

Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.

Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.

Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.

Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
 

Attachments

  • iamravnfit_20260627_1.mp4
    2.2 MB
9b53d48908ca5bd_file_00000000cf5072439c424063d63d6d67_wm.png

Tuishi hapa , maisha yana namna yake jamani halafu mvuto unautengeneza mwenyewe sio mpaka uwe na pesa ndio unakuwa una mvuto. Kuna vijana humu huwa wanakuja na mbwembwe lakini huwa wanapoteana mapema sana. Tajiri wa Singapore bado yupo ?

Life is beautiful and the beauty of life grows through your personality. Tuishi maisha yetu , yenye utu, heshima na kuwa na mipaka hata kama huna hela lakini kama unajiheshìmu utakuwa na mvuto tu.
 
Ni mtihani sana, hapo kaniwakia imepita siku kadhaa kaleta invoice ya maana, nikamuuliza ndio umeamua kutaka kunitumia au vipi maana mbona sielewi ? badae tukaja kuwa marafiki tu maana kwenye combination ya mapenzi iligoma ilikuwa kama tunakuwa vitani.. 😅😅
😅
 
Back
Top Bottom