Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Ngoja niwe mtazamaji bhana.Sir Mgax nieleweshe kidogo
Ngoja niwe mtazamaji bhana.Sir Mgax nieleweshe kidogo
Hapana nilikuwa hakimuUlikuwa shahidi?
We live in a world that has become obsessed with appearances. Not just how people look. But how ideas look. How lifestyles look. How success looks.Kumbe haya sawa kaka angu mkubwa 🤗
I'm not sure why you directed this message to me, but I received it with an open heart and took some valuable lessons from it.We live in a world that has become obsessed with appearances. Not just how people look. But how ideas look. How lifestyles look. How success looks.
We’ve become so used to judging things by the packaging that we’ve forgotten to ask what’s actually inside. Someone with millions of followers speaks... And we assume they must know what they’re talking about.
Someone quotes the Qur’an or the Sunnah... And we ask how many followers they have first. It’s strange when you think about it. We’ve started measuring truth by popularity. But truth has never needed a crowd. The Prophets were often the minority. The Qur’an repeatedly reminds us that most people will not believe, will not understand, and will not be grateful. If numbers were a sign of truth, the Prophets would have failed.
Instead, Allah teaches us to judge by evidence, not appearance. By character, not charisma. By sincerity, not status. One of shaytaan’s greatest tricks has always been making falsehood attractive. He doesn’t begin by changing the truth. He begins by changing how the truth is perceived.
Once people start valuing style over substance, they’re far easier to mislead. So before accepting an opinion... Don’t ask, “Who said it?” Ask, “Is it true?” Because on the Day of Judgement, Allah won’t ask us who was trending. He’ll ask whether we followed the truth when it came to us.
ShesRise_1 ujumbe wa TheSunnahguy
Jumaa Mubarak 🤝
It's my Friday swadka, once you've had it in your mind, you feel full forever. Unlike biryani, which disappears from your stomach after just two hours. 😄I'm not sure why you directed this message to me, but I received it with an open heart and took some valuable lessons from it.
Thank you so much, brother😊
Hata kijijini kwetu ni hivo.
Kuna Baba wakubwa hawana pesa wanawaheshimu wadogo zao.
Kuna ma uncle hawana pesa na wanatia huruma
Bora umekiri, uchagani kama huna hela na ndugu zako wanazo utakuwa dekio...Nimetembea mikoa mingi na kwenye jamii nyingi Tanzania wanaheshimu tu watu bila hata pesa, japo mwenye pesa anapewa kipaumbele kiasi fulani.
Njoo kwenye jamii yetu ya kichaga , uwe hauna hela ndio moto utauona , kuna manyanyaso lakini kwa uchagani kwa wasio na hela yamezidi kipimo.
Pesa ndio kila kitu mkuu hata kwenye misiba mnaweza wakubwa wote mkawepo lakini dogo mwenye pesa kama hayupo mtaambiwa hadi afike dogo ndio taratibu za msiba zitafanywa, hata hapa kwetu wenye pesa ndio wenye maamuzi ya mustakabali wa maisha yetu.WATU HUOMBA SELFIE NA WENYE PESA NA SIO MALOFA.Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.
Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.
Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.
Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.
Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.
Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
Na huu ndio uhalisia wenyewe 😜Pesa ndio kila kitu mkuu hata kwenye misiba mnaweza wakubwa wote mkawepo lakini dogo mwenye pesa kama hayupo mtaambiwa hadi afike dogo ndio taratibu za msiba zitafanywa, hata hapa kwetu wenye pesa ndio wenye maamuzi ya mustakabali wa maisha yetu.WATU HUOMBA SELFIE NA WENYE PESA NA SIO MALOFA.
Ila kwa umri wangu nimeona mengi sana , nimeona watu wakifilisika kwa majanga na kurudi sifuri , nimeona watu wakiwa mafukara kabisa ila wakinyanyuka na kuwa matajiri wakubwa , maisha yana kupanda na kushuka , kuna magonjwa , ajali na mengi sana .Bora umekiri, uchagani kama huna hela na ndugu zako wanazo utakuwa dekio...
Bismillah MashaAllah 😍It's my Friday swadka, once you've had it in your mind, you feel full forever. Unlike biryani, which disappears from your stomach after just two hours. 😄
Umeongea kwa busara, huna sababu ya kumthamini mtu kwa kigezo cha pesa! Thamani ya ntu haipimwi namna hiyo, bahati mbaya walimwengu wameona hiyo ndio njia...Ila kwa umri wangu nimeona mengi sana , nimeona watu wakifilisika kwa majanga na kurudi sifuri , nimeona watu wakiwa mafukara kabisa ila wakinyanyuka na kuwa matajiri wakubwa , maisha yana kupanda na kushuka , kuna magonjwa , ajali na mengi sana .
Tukiachana na mbwembwe za mitandaoni, siwezi kumdharu mtu asiye nacho kamwe, unae mdharau leo anaweza kuwa msaada mkubwa kwako kesho , tukiachana na utoto, ulimbukeni ,umaskini, na mbwembwe za mitandaoni, mtu mwenye busara na hekima hawezi kufanya hivyo kamwe.
Muwe mnaombea hela baba zenu sasa siyo kila siku naomba hela ya kusuka!Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.
Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.
Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.
Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.
Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.
Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
Maisha yana njia ya ajabu sana za kumfundisha mtu, najua wewe ni nyani mzee umeona miti mikubwa yenye umri ikivunjwa na dhoruba kali, umeona ka mti kadogo kalikokuwa kanadharaulika , kakikua na kuwa maskani kubwaaaaaa kwa nyani wengi.Umeongea kwa busara, huna sababu ya kumthamini mtu kwa kigezo cha pesa! Thamani ya ntu haipimwi namna hiyo, bahati mbaya walimwengu wameona hiyo ndio njia...