Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Ndio maisha ya binadamu yalivyo siogopi kufa, ila unaacha mazingira gani baada ya kufa. Mwezi wa tatu au wa pili, nilikuwa na chart na rafiki yangu tunapiga story hadi tumekubaliana baada ya mda tukutane, imepita dk 30 baada ya mawasiliano naona status jamaa katutoka, napikicha macho nahisi sikuwa naona vizuri ila wapi
. kweli nakuja piga simu mtu kafariki na wakati kama dk 30 nyuma tulikuwa tunapiga mastoty yetu..
Jamani 😥
Inaumiza sana.
 
  • Masikitiko
Reactions: Oho
Omba usioe kwenye familia yenye watoto wengi wa kike halafu wote wameolewa na wenye hela, then we kapuku huna hela uko ukweni kuna jambo la kifamilia linafanyika. We usie na hela ndio utafanyishwa shughuli zisizo na heshima huku wenzako wakipewa heshima hawagusi chochote. Utatumwa mpaka kupasuapasua kuni na shughuli zingine zisizo na staha ukweni. Kwenye kikao hata utoe pointi gani haitazingatiwa ila watozi wenzako wakiongea hata utumbo kauli zao zitazingatiwa na kuheshimiwa. Utanyanyasika na kufedheheshwa mpaka ukome. Unapoenda kuoa kwenye familia zenye mashauzi kama hayo hakikisha una hela kuwazidi watozi wenzako ili kujijengea heshima ukweni
 
Utapewa KAZI ya kupanga viti
Au kuwa mlinzi 😅😅😅
 
Kazungumzia hali halisi kwenye jamii zetu, na si tu mwanaume hata mwanamke asie na pesa nae hali ni hivyo hivyo. Umemuelewa tofauti au ni kwa sababu kamtaja mwanaume ndio ambacho hujapendezwa nacho ila alichoandika ndio uhalisia wenyewe.
Hajatajwa mwanamke ila uzuri ni kwamba hata wanawake wanapambana tunabeba nao mizigo pale Vingunguti kwa Bakhersa na wanakimbiza kuliko sisi wanaume
 
Umeenda mbali sana Bro.
Walioelewa wameelewa

Kumtaja Baba hata sio kitu Cha kushangaza wala kushtua kama akikosa pesa atakosa heshima vilevile tangu lini asie na pesa akaheshimiwa.

Kama kitu kilichoandikwa kimekukera unaweza kupita kimya kimya sawa.
Sijaenda mbali hata kidogo labda hili andiko kama ume copy mahali lakini kama ndio umeandika kwa utashi wako basi hata Mimi ninekujibu vile uhalisia ulivyo.
 
Omba usioe kwenye familia yenye watoto wengi wa kike halafu wote wameolewa na wenye hela, then we kapuku huna hela uko ukweni kuna jambo la kifamilia linafanyika. We usie na hela ndio utafanyishwa shughuli zisizo na heshima huku wenzako wakipewa heshima hawagusi chochote. Utatumwa mpaka kupasuapasua kuni na shughuli zingine zisizo na staha ukweni. Kwenye kikao hata utoe pointi gani haitazingatiwa ila watozi wenzako wakiongea hata utumbo kauli zao zitazingatiwa na kuheshimiwa. Utanyanyasika na kufedheheshwa mpaka ukome. Unapoenda kuoa kwenye familia zenye mashauzi kama hayo hakikisha una hela kuwazidi watozi wenzako ili kujijengea heshima ukweni
Nimetembea mikoa mingi na kwenye jamii nyingi Tanzania wanaheshimu tu watu bila hata pesa, japo mwenye pesa anapewa kipaumbele kiasi fulani.

Njoo kwenye jamii yetu ya kichaga , uwe hauna hela ndio moto utauona , kuna manyanyaso lakini kwa uchagani kwa wasio na hela yamezidi kipimo.
 
Back
Top Bottom