Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

😅😅😅😅
Nilijua mimi handsome nilipotoka sebuleni Niko ghetto namsikia mzee anamwambia bi mkubwa 'kijana mzuri kwelikweli'
Sasa mimi mtaani nikawa Sina zile kubagua hadhi madem,mi natwanga tu na napenda madem wa kiswazi,hapo nasoma chuo
Madem wengine masista du eti 'hata hajali hadhi yake,anatembea na madem gani wale'..k hainà hadhi wala grade bana!
 
Mvuto una vitu vingi na hivyo vikiwemo
sema kuna wanawake ni vyuma vya pua, niliwai mpenda mwanamke nikaingia na gear ya pesa, akazikula hela zangu kama 2 million ndani ya wiki mbili, wiki ya tatu nikapisha nae mawazo akaanza kataa hela live , siku ya siku akaliamsha akaniwakia kwamba sio kila mwanamke anapenda hela kanichapa mawaidha alafu akaniambia angeamua angekula sana hela zangu na nisingepata kitu so niache wenge yeye akiamua mpenda mtu anampenda tu.. duh nilipata nomaaa maana linichana makavu ingawa na mie sikuwa namvuta kwa hela, ile hela tulitumia wote na mda mwingine shoping.. So akili za wanakwe tofauti sana
 
Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.

Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.

Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.

Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.

Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.

Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
Sawa hata kam sina mvuto ndio uanzishe uzi bila kuwasalimia hata hao wenye mvuto mkuu 😂
 
Siyo kweli,mama yetu mfupi mnene kilo mia,dada zetu model nyama na wapo 40s na Wana watoto watatu kuendelea
wakiwa wamana nao watakuwa vibonge kama mama ni swala la mda mkuu ( mala nyingi kujua mwili wa mtoto wa kike angalia mama yake ) japo kuna mda sio sahihi 100% 😅😅
 
sema kuna wanawake ni vyuma vya pua, niliwai mpenda mwanamke nikaingia na gear ya pesa, akazikula hela zangu kama 2 million ndani ya wiki mbili, wiki ya tatu nikapisha nae mawazo akaanza kataa hela live , siku ya siku akaliamsha akaniwakia kwamba sio kila mwanamke anapenda hela kanichapa mawaidha alafu akaniambia angeamua angekula sana hela zangu na nisingepata kitu so niache wenge yeye akiamua mpenda mtu anampenda tu.. duh nilipata nomaaa maana linichana makavu ingawa na mie sikuwa namvuta kwa hela, ile hela tulitumia wote na mda mwingine shoping.. So akili za wanakwe tofauti sana
Sijui tukoje sisi 😅😅😅
 
Nilijua mimi handsome nilipotoka sebuleni Niko ghetto namsikia mzee anamwambia bi mkubwa 'kijana mzuri kwelikweli'
Sasa mimi mtaani nikawa Sina zile kubagua hadhi madem,mi natwanga tu na napenda madem wa kiswazi,hapo nasoma chuo
Madem wengine masista du eti 'hata hajali hadhi yake,anatembea na madem gani wale'..k hainà hadhi wala grade bana!
Unachakata tu 😅
Hukupata magonjwa?
 
Sijui tukoje sisi 😅😅😅
Ni mtihani sana, hapo kaniwakia imepita siku kadhaa kaleta invoice ya maana, nikamuuliza ndio umeamua kutaka kunitumia au vipi maana mbona sielewi ? badae tukaja kuwa marafiki tu maana kwenye combination ya mapenzi iligoma ilikuwa kama tunakuwa vitani.. 😅😅
 
Una pesa alfu mashine haifanyi kazi sasa nauliza huu mkusanyiko ambao pesa inakufanya uwe ukatakuwa umekupa raha gani ?
 
sema kuna wanawake ni vyuma vya pua, niliwai mpenda mwanamke nikaingia na gear ya pesa, akazikula hela zangu kama 2 million ndani ya wiki mbili, wiki ya tatu nikapisha nae mawazo akaanza kataa hela live , siku ya siku akaliamsha akaniwakia kwamba sio kila mwanamke anapenda hela kanichapa mawaidha alafu akaniambia angeamua angekula sana hela zangu na nisingepata kitu so niache wenge yeye akiamua mpenda mtu anampenda tu.. duh nilipata nomaaa maana linichana makavu ingawa na mie sikuwa namvuta kwa hela, ile hela tulitumia wote na mda mwingine shoping.. So akili za wanakwe tofauti sana
Kama huyo marehem mke wangu kwenye avatar yangu,kisu haswa
 
Una pesa alfu mashine haifanyi kazi sasa nauliza huu mkusanyiko ambao pesa inakufanya uwe ukatakuwa umekupa raha gani ?
Ukiwa hauna pesa ndio unapaswa mashine isifanye kazi, kichwa cha juu kipate nafasi ya kuwaza kupata pesa
 
Back
Top Bottom