Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

1. Akili unaipima na nini??

2. Kupata maarifa sio lazima uwe na akili ama wakati sahihi kufika hauwezi justify akili yako.

3. Na wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Akili kila mtu anazaliwa nayo, ila akili inakuwa activated inategemea imekuwa activated na kitu gani inaamua sana matokeo na hapo ndio huzaliwa mambo mengi. Ina matter sana nini kime activate akili ya mtu huwa ina amua juu ya mambo mengi sana
 
downloadfile-5.jpg
 
bado sijashawishika na minyamaa, acha tubaki na vimbau mbau vyetu, hata ukiwa nako kwenye vitu unaona kama una ka dominate hata kama kame ku domite ila sio vibokoo aiseee 😅😅
Mchokozi wewe 😅😅
 
Back
Top Bottom