😅😅😅 wakalime hata vibaruaBila Hela?
Wapo wanaotaka mapenzi tuBila Hela?
Nataka nimind japo ni past tenseNyie endeleeni ukute ni yeye
😅😅 labda ndugu yake tuu. Hiyo tulikuwa mzumbe sasa wake sijui alikuwa wapiNyie endeleeni ukute ni yeye
Ok,hiyo pisi ya kinoNimesema wanafana ila sio yeye, chuo Mzumbe mkuu
Je vipi naye mwanamke asiye na mchango kwenye kipato cha jamii inayomzunguka?Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.
Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.
Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.
Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.
Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.
Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
Kino kuna watoto wazuri. Ila udongo ulimeza chomboo aiseee.. Hana wadogo zakeOk,hiyo pisi ya kino
Wapo ila wameolewaKino kuna watoto wazuri. Ila udongo ulimeza chomboo aiseee.. Hana wadogo zake
Hapo ulipata mke, alipata ajali nini mkuu ?Wapo ila wameolewa
Ni kweli ila kujiposition kuna umuhimu wake.Haki bin haki
Hapana,siku tu zikifika, AsanteHapo ulipata mke, alipata ajali nini mkuu ?
Pole sana mzee . Ulikuwa na mke mzuri sana
Kila mwanamke namuona hovyo yaani,nimeamua kulea tu watotoHapo ulipata mke, alipata ajali nini mkuu ?
Pole sana mzee . Ulikuwa na mke mzuri sana
mmmh jamaniKama huyo marehem mke wangu kwenye avatar yangu,kisu haswa
Huwa ipo hivyo kaka!Kila mwanamke namuona hovyo yaani,nimeamua kulea tu watoto