realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
- Thread starter
- #121
Elvis 😅😅😅😅.Wanawake wengi ni matapeli siku hizi. Yaani macho yao ni kama kinyonga muda wote yanazunguka, wana uwezo wa ku-scan wallet yako na kujua umebeba kiasi gani. Acha niendelee kuwa single.
Mnatupa shutuma za uongo jamani 😅
Pesa Zina muonekano wake.