Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Mwanaume asie na hela ni yupi na hiyo jamii unayoizungumzia ni ipi? Vijijini % kubwa wanalingana tu kiuchumi na gap ni dogo sana na bado wanaishi kwa kuheshimiana na kila kitu kinaenda. Tupe kiwango cha pesa ambacho kinatofautisha mwanaume asie na hela na ambae hana. Tanzania tuna mabilionea (in USD)wachache tu labda hata 10 hawafiki, kama unawareffer hao it means waliobaki wote hawana mvuto kwenye jamii? Mathalani Daktari tu wa binadamu anaweza kuonekana hana hela na kuna jamaa ameleta Uzi humu kua wana maslahi duni serikali iwaangalie, hapo unazungumzia mtu ambae basic salary yake ni 2.5M+, je huyu hana mvuto kwasababu kwenye jamii kwakua mapato yake hayafiki 20M per month? Huyu akiwa pale hospital ya Nzega DC atakua hana mvuto kwenye hiyo jamii ya watu wa Nzega? Tuje kwenye thamani na kusikilizwa kwenye jamii, mwanaume unaemzungumzia hapa anatakiwa kua na sh ngapi ili jamii imthamini na kumsikiliza na kumshirikisha kwenye maamuzi muhimu? Anyways hii maada sijaeielewa vizuri imekaaje, ila nachojua huwezi kubet na maisha ya mwanaume kwasababu kesho hujui atakua nani. Mwanaume anaweza maskini leo kesho akawa tajiri. Anaweza kua mtu wa kawaida leo kesho akaja kua mtu mkubwa tu and vice versa. Sasa mwanaume anadharauliwa vipi? Kuna jamii anaweza kua hana hiyo thamani lakini kwenye jamii yake akawa na heshima kubwa tu. So conclusively mwanaume ambae wewe unamwona hana pesa ya kiwango unachotaka ni mwanaume bora kabsa kwa mwanamke mwingine ndo maana nimeanza kwa kuuliza ni kiwango gani kinachomtofautisha mwanaume mwenye pesa na ambae hana, tuanze na wewe kwanza.
 
Soma posts zangu #205, #211 na #212
 
🤬🤬🤬
 

Attachments

  • 4FDE7A5C-4846-4435-A0A4-287F84FE4715.jpeg
    24.3 KB · Views: 7
Jaman wasio na pesa wanajua kupeleka moto hadi unasahau mifuko yao, Mungu hakunyimi vyotee, nawapenda wanaume wasio na pesa kwenye hilo eneo
 
Jaman wasio na pesa wanajua kupeleka moto hadi unasahau mifuko yao, Mungu hakunyimi vyotee, nawapenda wanaume wasio na pesa kwenye hilo eneo
😅😅😅Najua Hilo pia hata kujali kwa sms wanajali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…