min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Pesa inapaswa inunue vitu vizuri na vyenye thamani, hii ni kanuni ya kilimwengu
Pesa inapaswa inunue vitu vizuri na vyenye thamani, hii ni kanuni ya kilimwengu
Kwa hiyo Mimi mwenye jero mfukoni nimeepuka kupigwa mawe hadi kufa? 🤔Mwanaume asiekuwa na Pesa apigwe mawe akufe
Kuanzia sh ngapi ndio pesa?Mwanaume asiekuwa na Pesa apigwe mawe akufe
YESU hakua Na Hela Ila ana Mvuto kwenye Jamii,Hoja Yako Ni Mtambuka.Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.
Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.
Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.
Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.
Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.
Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
Mbona nimekupa kila kitu, biashara, gari n.k lakini bado unafata mgegedo wa afisa usafirishaji?Pesa baba
Yeah, unakuta mdada katanguliza pesa mbele kama tai , ila yeye sasa🤔Kina sie wenye sura ngumu tusio na makebo tunapata tabu sana!
😁mkuu,Komenti kuntu 👏
Wapelekwe SeloWapelekwe wapi?
Dhambi hiyo 😅
Hapo tupo sambamba sanaUmeona ee
Hao wanaopiga wasio na pesa mawe.Kwani nani anajua 😅
Eli usiwe hivo sawa 😅😁mkuu,
Hii stage nishapita, nimeachia washamba wanaobabaika ni namna gani jamii itamuonaje
Niwe pesa nissiwe na pesa sitaki huruma ya mtu yoyote na haimuhusu mtu yoyote.
YAni hao hao ambao watakuchekea ukiwa na pesa ndio hao watakuchekq ukifirisika, eti ndio nibabaike naon
No maan🚮
Nakuelewa mkuu. Kiufupi hatuko duniani kufurahisha jukwaa, si lazima kupendwa. Kwanza kupendwa ni illusion tu!!😁mkuu,
Hii stage nishapita, nimeachia washamba wanaobabaika ni namna gani jamii itamuonaje
Niwe pesa nissiwe na pesa sitaki huruma ya mtu yoyote na haimuhusu mtu yoyote.
YAni hao hao ambao watakuchekea ukiwa na pesa ndio hao watakuchekq ukifirisika, eti ndio nibabaike nao
No maan🚮