min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ndio maana sisi tukiwa pangu pakavu, tunakomaa na kina aisha wavikindu ila tukizinasa tuna hamia kwa kina petilishaz de cuteYes. Tunapambana sana.
Ndio maana sisi tukiwa pangu pakavu, tunakomaa na kina aisha wavikindu ila tukizinasa tuna hamia kwa kina petilishaz de cuteYes. Tunapambana sana.
Kujikubali tu. Hayo mengine atajua mtoa pesa 😀😀Yeah, unakuta mdada katanguliza pesa mbele kama tai , ila yeye sasa🤔
Wanataka ila tumekubaliana hela inatakiwa itumike kwa thamani yakeKwani kina Aisha hawataki Hela 😅
Umeona pesa imeongeza uwezo wa mwanaume huyo eehivi kwa wanaume kama vile Vladimir Putin, Elon Musk, Aliko Dangote na ndugu yangu sana Bill Gates wanaweza kua wamepitia changamoto hiyo?
Mi nadhani mvuto wa mwanaume katika jamii yoyote ile huchochewa zaidi na boldness yake katika kuonyesha njia, kuchukua hatua kwa maneno na matendo. Pesa inaweza tu kutumika kuestablish hiyo boldness ya mwanaume huyo kamili katika kuchukua hatua zaidi.
Tofauti na hapo huenda ndio changamoto uliyoitaja inaweza kujionyesha.🐒
Naam! Hii Dunia imejaa kuchunguzana sana. Unakuta mtu ni mzuri sana wa kuona boriti katika jicho lako ilihali jichoni mwake kuna kibanzi chenye ukubwa kama wa nguzo ya umeme.I can not pressure myself on this material world and fake faces everywhere.
Ile nyingine iliishia wapi? 😅
IShi hapo hapo kwa wa alftano mkuu..Sibabaishwi na urembo wa mwanamke yoyote, wapo wa kununua hata aftano
Ukiwa na mwanaume ambae hana akili, bilashaka utakua hawezi kuipata pesa mkuuAkili na pesa au akili tu 😅😜
Yeah, tambua kuwa hapa mfukoni nina jero, na wakisema wanye pesa wasimame, Mimi nitakuwa wa kwanza kusimama.Nilikuwa sijaelewa 😅
Nitumie tiketi Sasa nijeUna sifa zote za kuwa msaidizi wangu, usafishe zizi la ng'ombe na ukamue ng'ombe maziwa; mwanamke mchapakazi kama wewe ni muhimu sana, kuliko wale wanawake ombaomba.
Ndo Dunia yenyewe hiyoNaam! Hii Dunia imejaa kuchunguzana sana. Unakuta mtu ni mzuri sana wa kuona boriti katika jicho lako ilihali jichoni mwake kuna kibanzi chenye ukubwa kama wa nguzo ya umeme.
Kwenye d ni T narekebisha hapo , kila mtu ana thamani ya kiwango chake eneo na hata chakulaHii nzuri hii.
Thamani ya mtu na eneo unalokutana nae si ndio
Noma sanaNdo Dunia yenyewe hiyo