Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

YESU hakua Na Hela Ila ana Mvuto kwenye Jamii,Hoja Yako Ni Mtambuka.
 
Komenti kuntu ๐Ÿ‘
๐Ÿ˜mkuu,

Hii stage nishapita, nimeachia washamba wanaobabaika ni namna gani jamii itamuonaje

Niwe pesa nissiwe na pesa sitaki huruma ya mtu yoyote na haimuhusu mtu yoyote.

YAni hao hao ambao watakuchekea ukiwa na pesa ndio hao watakuchekq ukifirisika, eti ndio nibabaike nao

No maan๐Ÿšฎ
 
Eli usiwe hivo sawa ๐Ÿ˜…
 
Nakuelewa mkuu. Kiufupi hatuko duniani kufurahisha jukwaa, si lazima kupendwa. Kwanza kupendwa ni illusion tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ