ππ pamoja dada.Eli usiwe hivo sawa π
Tulia wewe.Lazima uwe na hata kimojawapo π
Ukipenda vitu vizuri lazima ujikaze kutafuta pesa, ukipenda tu halafu ukabweteka haina maanaHakuna asiependa vitu vizuri.
Sema pesa Sasa ndo shida π
Ila kama sio bwashee πTulia wewe.
Siyo Ackson Subwoofer mstaafu.
Nikisema kiasi wataanza kusema matajiri wa Jf hivi mara vileKuanzia sh ngapi ndio pesa?
Nimesema mfukoni nina jero hivyo Niko safe.Katafute basi jamani
I can not pressure myself on this material world and fake faces everywhere.Nakuelewa mkuu. Kiufupi hatuko duniani kufurahisha jukwaa, si lazima kupendwa. Kwanza kupendwa ni illusion tu!!
Sijawai kabisa vutiwa na wanawake wenye maumbo makubwa, yaani mie English figure ndio mambo yanguMwanamke Asie Na Makebo Hana Mvuto Kwenye Jamii,Wadada Wote Wasio na Makebo Wakamatwe.
Yule kakosa vyote bwashee.Ila kama sio bwashee π
hivi kwa wanaume kama vile Vladimir Putin, Elon Musk, Aliko Dangote na ndugu yangu sana Bill Gates wanaweza kua wamepitia changamoto hiyo?Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake.
Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na uongozi.
Mwanaume asiye na pesa hukosa uwezo hata wa kutoa maamuzi ndani ya familia yake mwenyewe na wakati mwingine hushindwa hata kujiamini.
Mwanaume asiye na pesa huweza hata kudharauliwa na kunyimwa nafasi aliyopaswa kuwa nayo ndani ya familia na Jamii kwa ujumla.
Watu wanataka kujua kesho itakuwaje, na kwa bahati mbaya pesa imekuwa ndio jibu la haraka.
Kwa hiyo kama huna pesa sasa, usikate tamaa. Jenga akili yako, jenga tabia yako,jifunze kutoka kwa wengine waliofanikiwa Ili nawe ufanikiwe
Mkuu kama pesa hamna hata mtwangio wa kujitetea nayo sio mbayaππ heri nusu Shari kuliko Shari Zima.Mtwangio bila pesa haunogi π