Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Umeona pesa imeongeza uwezo wa mwanaume huyo ee
 
Una sifa zote za kuwa msaidizi wangu, usafishe zizi la ng'ombe na ukamue ng'ombe maziwa; mwanamke mchapakazi kama wewe ni muhimu sana, kuliko wale wanawake ombaomba.​
Nitumie tiketi Sasa nije 😜
 
Una sifa zote za kuwa msaidizi wangu, usafishe zizi la ng'ombe na ukamue ng'ombe maziwa; mwanamke mchapakazi kama wewe ni muhimu sana, kuliko wale wanawake ombaomba.​
Nitumie tiketi Sasa nije
Naam! Hii Dunia imejaa kuchunguzana sana. Unakuta mtu ni mzuri sana wa kuona boriti katika jicho lako ilihali jichoni mwake kuna kibanzi chenye ukubwa kama wa nguzo ya umeme.
Ndo Dunia yenyewe hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…