Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Yeyote ambaye atakudharau wakati huna kitu hata ukiwa na kitu atakudharau ila atakuwa mnafiki sababu unaweza kutimiza sehemu ya majukumu yake
 
Akili ni given na maarifa ni choice.
Sawa... wanaume wengi tunashindwa kutumia akili ili kupata maarifa.
Ukiwa na mwanaume anae tumia akili, tafasiri yake ni kupata maarifa yatakayo mfikisha kwenye mafanikio
Akili + Maarifa + Right timing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…