Mwanaume asiye na Pesa hukosa mvuto ndani ya Jamii

Wanawake wengi ni matapeli siku hizi. Yaani macho yao ni kama kinyonga muda wote yanazunguka, wana uwezo wa ku-scan wallet yako na kujua umebeba kiasi gani. Acha niendelee kuwa single.
Elvis πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
Mnatupa shutuma za uongo jamani πŸ˜…
Pesa Zina muonekano wake.
 
Wanawake wengi ni matapeli siku hizi. Yaani macho yao ni kama kinyonga muda wote yanazunguka, wana uwezo wa ku-scan wallet yako na kujua umebeba kiasi gani. Acha niendelee kuwa single.
Hata kwenye viwanja matapeli wapo. Lakini watu hawaachi kununua.

Tafuta anaye deserve wallet yako!
 
Nikikumbuka niligombewa licha ya kibamia changu,nakubali kweli mvuto muhimu, yaani nimekaa ndani mwanamke anakuja na kanga na chupi tu,eti gallow bird ninyoe,nyie!..ujana nimeula
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mwanamke huchukua mwili wa mama, ukimuona mama mtu kibonge nyanya pipa unajua ukimbaumbau wake no fake.. Kwa mwanamke ambae slim huniambio kitu, sielewi watu wanapendea nini manyama nyama sema maisha kila mtu na apendacho
Siyo kweli,mama yetu mfupi mnene kilo mia,dada zetu model nyama na wapo 40s na Wana watoto watatu kuendelea
 
Mwanamke huchukua mwili wa mama, ukimuona mama mtu kibonge nyanya pipa unajua ukimbaumbau wake no fake.. Kwa mwanamke ambae slim huniambio kitu, sielewi watu wanapendea nini manyama nyama sema maisha kila mtu na apendacho
Minyama Ina Raha yake sometimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…