Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Thanks, that is why maturity na hofu ya Mungu ndio key na pia sitakuwa na haraka before kujiridhisha pasina shaka kuwa huyu mwenzq atakuwa sahihi kwangu na mimi sahihi kwake...Kwa uwezo wa Mungu inawezekana
 
Watoto wote ni wa baba mmoja au kila toto na babaake?
 
Asa kwa hao ulioweka umri wao kama kigezo kikuu wataweza kweli kusugua?
Lab

da kama unahitaji baba tuuh ila kama ni mizagamuano kwa kwenda mbele tafuta Gen Z wako vizuri kuliko ao wazee unaowawazia.
Lakini ni ushauri tuuh kila la kheri mkuu.
Thanks, I am no longer interested in https://jamii.app/JFUserGuide but love making ,complete and happy family....Age is just a number
 
Mimi Nina 55, mtoto mmoja, single father lakini nazaa Ila sihitaji mtoto. Umri wangu vipi?
Umri sio ishu but sitokuwa fair kwako as utahitaji kuongeza mtoto na sitakuwa na uwezo wa kukupatia...
 
I am open for both but yupo mtu ambaye hilo ni hitaji lake, anahitaji upendo wa watoto na heshima.
 
Biological baba wakwaapi na vip wakija kudai watoto wao
Ahsante kwa kucomment.
 
Ahsante kwa tahadhari, najua wapo wengi, nitakuwa makini kuwachuja, nahitaji ninayemlenga ajue this post is not for child support au nimeshindwa kulea, tunahitaji upendo kama ambavyo yeye anahitaji upendo
Tatizo umeweka vigezo vya kibaguzi sana kuhusu sifa!

Awe rijali aliyeshindwa kupata watoto na asizidi miaka 45!

Kuna wanaume wapo juu ya umri huo wamezaa na wanahitajio la kweli la mwanamke aina yako, sasa umewabagua.
 
Tatizo umeweka vigezo vya kibaguzi sana kuhusu sifa!

Awe rijali aliyeshindwa kupata watoto na asizidi miaka 45!

Kuna wanaume wapo juu ya umri huo wamezaa na wanahitajio la kweli la mwanamke aina yako, sasa umewabagua.
Noted, Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…