Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Wanawake bwana, utadhani anamuonea huruma mwanaume ila ukweli ni ubinafsi wa kutaka mume ila asiwe na watoto wakate yeye anao na hataki kumzalia watoto
Kitanda usicholalia ujui kunguni wake.
Kuna mtu ambacho wewe inaona n selfish ni prayer point yake

Kongole
 
Kwa maana nyingine mimi nilivo elewa ni kuwa unahitaji mzee ambaye hana folopian tube sio
 
Kuna mmoja Yuko ana watoto wanne .aje??
 
Wale vijana wasioelewa hili andiko zaidi pale kwenye 'asiye na uwezo wa kuzaa' ninipo hivi!.

Madame anataka mtu wa aina hiyo kwa sababu endapo unauwezo wa kumpa mimba iwe kwa bahati mbaya au kupanga kuna jambo hili hapa.

Mara nyingi uzao (mtoto/watoto) wa mke na mume aliye ndani ya damu na familia ya wazazi wasiyo wa unga unga huwa anapendwa kwa nguvu zote kwa sababu ya muunganiko wenu.

Mtoto/watoto aliye na wazazi wote hatakuwa na upungufu wa upendo kivyovyote bile kutoka kwa mama au baba.

Ikiwa utaleta mwanao kwa single mama/baba aliye na mtoto/watoto kumbuka utaegemea kwa mwanao zaidi ukihisi ndiye atakuja kuwa nawe karibu kuliko wale/yule mwingine.

Huyu madame rosita nakupa tano πŸ‘ŠπŸΎ umesoma harama barabara japo itakupa challenge kiasi, ila mwanaume huyo yupo na utapata.

Binafsi nawahusia WANAWAKE wenzako wote wanaokimbia au kwa lolote kukacha ndoa warudi kwa waume zao kuepusha hizi mambo.

Wanaume sisi (si vijana) walio kwenye ndoa tafadhali tujenge panapo haribika ili kuepusha haya.

Mwisho unapoona kitu kama hichi kila mtu Me/Ke jitafakari, acha kibri na kujitutumua.

NDOA ni ya Mungu.
 
Kwaiyo hao watoto utawalea wewe au unatafuta pia mtu wa kukusaidia kulea...Ila Wana Watatu ni wengi asee ingekuwa mmoja labda
Only Genious can understand this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…