Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Kabla ya kuingia kwenye hili ni vema ukaweka wazi wako wapi au yuko wapi Baba wa watoto.Mara nyingi kama baba yupo utajitetea kuwa sina mahusiano naye kabisa lakini itafikia wakati watoto watamtaka baba halisi,hapa kwa wanawake walivyoumbwa utaanza kwa kificho kujipeleka kwa baba halisi ili kuwafavour watoto wako,na hapa ndipo shida itakapoanzia,lakini kama hayupo hai hapo hakuna shida unaweza kuendelea tu na hiyo plan yako...
 
shida ni kutokua na uwezo wa kuzaa😂😂
 
Nahitaji kutengeneza na Mungu na sio kuendelea kuishi kwenye zinaa na uzinzi.
Polygamy sio uzinzi, ingiza na kipengere cha kuwa mke wa pili hakika hutakosa wa kukuchukua na kukupa furaha.
 
Aisee mimi na bahati mbaya nikimwaga tu mtu anakula mimba, sasa nina comment wapi?
 
Asa kwa hao ulioweka umri wao kama kigezo kikuu wataweza kweli kusugua?
Labda kama unahitaji baba tuuh ila kama ni mizagamuano kwa kwenda mbele tafuta Gen Z wako vizuri kuliko ao wazee unaowawazia.
Lakini ni ushauri tuuh kila la kheri mkuu.
Acha hizo Wewe,Mimi nina miaka55,Niko poa kwenye hayo mambo,tatizo mnakula sana chipsi!
 
rosita hongera sana, unaonekana kuwa mwanamke uliye serious sana na unayejua unataka nini na vipi. Nakuombea ufanikiwe kwenye hili hitaji lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…