Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Pombe ina madhara mengi tumekubaliana hapo..?Faida zangu?
Faida zangu zioi wakati mimi ndiye nimesema there is no safe amount if alcohol na mpaka link ya WHO nimeiweka hapa.
Unanisoma au unarukia tu kujibu.
Hatujakubaliana, wewe umekubaliana na mimi.Pombe ina madhara mengi tumekubaliana hapo..?
No reform no electionMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Pombe inamadhara mengi kuliko faida..Hatujakubaliana, wewe umekubaliana na mimi.
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia
ππππππMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Hapana,Pombe inamadhara mengi kuliko faida..
Ndio maana tunasema pombe ni haram..
Kitendo cha kukubali kuwa pombe ina madhara na ukaiacha au ukapunguza jua tayari umejua hi ni dhambi
Hivyo unatutafutia shemeji wa Ghana wakati huu amatena Bukinabe?Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Ndio. ni sawa. Ni kweli kabisa mwanaume wa hivyo ana mapungufu, ndio, mapungufu ya dhambi.Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Kutokana na hizo tabia ulizotaja kuna namna una athirika labda KIUCHUMI,KIAKILI AMA KIMWILI?Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Girl go wash ua nasty lipsMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
pampula huyo hivyo lazima apate pampula mwenzakeMwanamke was Ubanda huyo.
Chibuku na banana zinakuchanganya wewe.
Vishu acha kujijazia minyama.Wanakuwaga wambea kinoma, na wanalwatetea kua wanakua vitombi ni uongo tu, ni makolo fulani kama makuku ya kisasa na yanaendesha sana mbunye na hutumia gharama kubwa mnoo kula mbunye za baamedi ambazo mdau anakula kwa offer ya bia mbili.
π π π makoloWanakuwaga wambea kinoma, na wanalwatetea kua wanakua vitombi ni uongo tu, ni makolo fulani kama makuku ya kisasa na yanaendesha sana mbunye na hutumia gharama kubwa mnoo kula mbunye za baamedi ambazo mdau anakula kwa offer ya bia mbili.
Huo ni mtazamo wa mwanamke ambaye ni uselessMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Pombe inamadhara mengi kuliko faida..
Ndio maana tunasema pombe ni haram..
Kitendo cha kukubali kuwa pombe ina madhara na ukaiacha au ukapunguza jua tayari umejua hi ni dhambi