Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

Wao mbona hawatutoi out na wanafanya kazi?

Kikawaida mwanamke hufanya vile afanyavyo mumewe.
Mume Akiwa mchoyo mwanamke anakuwa mchoyo mara MBILI.
Mume Akiwa anajali wanawake wanajali Mara mbili Yale.

Mimi huwa nashangaa ninaposikia watu wakisema wanawake hawatoi pesa wakati Sisi wengine hizo pesa tangu tunasema sekondari pesa Zao tumezila Sana Mpaka sasa tuwatu wazima
 
Mkuu ulivohamaki nikajua unamzungumzia mama, nilishaanza kujutia na michozi Kwa mbali ilikuwa inanilenga,

Ila nilivoona mbele umesema mke ikabidi nianze kucheka Sasa.

Wanaume wenzangu nawaambieni Kila siku chagueni wanawake wakujiwekeza kwao, sio Kila mwanamke anastahili jasho lako Hawa wengine ni washenzi kabisa.

Sijasoma andiko lako mpaka mwisho ila uliposema tu pekeka mkeo out nikajua huyu tayari.

Kuna mawili yako kwako kijana Moja hujaona lakini la pili Kuna kiumbe mnaibiana na hajakuonyesha upande wake wapili.

Siku akikuonyesha huyo ni nani utakuja kuomba radhi Kwa maneno yako haya.

Kiongozi wanawake wameisha, wanawake hamna . Hawa tulionao ni washirika na shetani.

Nasema kaka ngoja kwanza uweke hivyo viumbe ndani uone.

Wewe wapigie tu makofi Kuna siku utakuja niambia mim, hao viumbe wajuaji, dharau, hamnazo, kejeli na Kila aina ya ujinga unaoujua wewe wanao.

Ni wachache saana kiongozi wanastahili hayo.
 
Mnanyota ya kupendwa au mnajua kugegeda vizuri
 
Ungejua kuna wanawake hawaridhiki tangu tarehe 1 January to 31 December usingepoteza muda kuandika page ndefu hivyo

Mkuu ishu hapo sio kuridhika au kutokuridhika.
Haufanyi hivyo kumridhisha Bali unafanya jukumu Lako la kumpa Mkeo furaha ili familia yako iwe na Furaha.

Alafu mwanamke akishakuwa Mkeo anatoka kundi la Wanawake anakuwa na sifa nyingine Spesho ambayo wanawake wengine hawana ndio maana anaitwa Mke.
Hivyo kwenye generalisation hupaswi kumuita Mkeo mwanamke au kumjumuisha Mkeo na wanawake wengine. Huko ni kukosa adabu.

Ni Sawa na Mama yako. Mwanamke akishakuwa Mama anapata sifa ya ziada zaidi ya mwanamke. Hivyo unaposema Wanawake automatically Mama yako anakuwa hayupo kwenye kundi hilo.

Hii pia kwa Sisi wanaume.
Mkeo hapaswi kukujumuisha kwa ujumlaujumla kwa kutumia kauli ninyi wanaume, wanaume Tabia zenu. Huyo Mkeo anakukosea heshima. Kwa sababu wewe tayari unasifa za ziada zinazokutofautisha na wanaume wengine ndio maana unaitwa Mume wake.

Mke ambaye akiongea atakuweka kwenye kundi Moja na wanaume wengine. Huyo anapoteza sifa ya kuwa Mke wako. Nawe wewe sio Mume wake.
 
mbona terms kama mkeo mwanamke wako
wanawake ndo zmetawala japo sijasoma yote

Kama hujasoma yote sidhani kama hata ujumbe wa Mada unaujua.
Wewe ni wale watu ambao mnakiherehere kitu hamjakijua Mpaka mwisho mnakipapukia. Hizo ni Tabia za ushambenga
 
Mkuu ulivohamaki nikajua unamzungumzia mama, nilishaanza kujutia na michozi Kwa mbali ilikuwa inanilenga,

Ila nilivoona mbele umesema mke ikabidi nianze kucheka Sasa.
Mke na Mama ni watu wawili tofauti.
Anachokupa Mke Mama hawezi kukupa.
Na alichokupa Mama mke hawezi kukupa.

Mama yako ni Mke wa Babaako.
Mwenye jukumu la kumpa mapenzi ni Babaako sio wewe.
Mama yako sio familia yako ndio maana hawezi kukuletea Ukoo. Mama yako ni familia ya Baba yako.

Umeshakuwa mwanaume hakuna atakayeuliza habari za Mama yako . Hata kwenye Historia yako mama yako hatatajwa kabisa ila Watoto na mke wanaweza kutajwa.

Wanaume wenzangu nawaambieni Kila siku chagueni wanawake wakujiwekeza kwao, sio Kila mwanamke anastahili jasho lako Hawa wengine ni washenzi kabisa.

Kama hastahili si umpe Talaka. Kwa nini uishi kinafiki? Yaani unaishi na mtu ambaye unamuita MKE alafu humpi Haki za Mke. Huo ni USHENZI.

Sijasoma andiko lako mpaka mwisho ila uliposema tu pekeka mkeo out nikajua huyu tayari.

Kuna mawili yako kwako kijana Moja hujaona lakini la pili Kuna kiumbe mnaibiana na hajakuonyesha upande wake wapili.

Kwa hiyo wewe kumtoa out Mkeo ndio ufikiri na uende mbali kwamba labda IPO siku mtavurugana. Vipi wewe ukiwa chanzo cha kumvuruga Binti wa watu?
Siku akikuonyesha huyo ni nani utakuja kuomba radhi Kwa maneno yako haya.

Kiongozi wanawake wameisha, wanawake hamna . Hawa tulionao ni washirika na shetani.

Kama wameisha ishi pekeako.
Huwezi sema wanawake wameisha na ni mashetani alafu Muda huohuo unaishi na mwanamke ambaye ni shetani. Huo ni unafiki. Kuishi na Shetani itamanisha nawe ni shetani Mkubwa.
Ndio maana mashetani wanafukuzwa

Nasema kaka ngoja kwanza uweke hivyo viumbe ndani uone.

Wewe wapigie tu makofi Kuna siku utakuja niambia mim, hao viumbe wajuaji, dharau, hamnazo, kejeli na Kila aina ya ujinga unaoujua wewe wanao.

Wakifanya hayo mabaya unayoyasema unafukuza. Unatafuta mwingine tena hivyohivyo.

Ndio maana Mimi nawaambia pia Mabinti hasa watibeli nao wasivumilia upumbavu na uovu wowote wa Sisi wanaume, yaani mwanaume akizingua nishawapa Ruhusa Binti zangu waombe Talaka.

Ubaya haupo kwa Wanawake pekee hata Sisi wanaume tunao huo ubaya. Na mifano IPO mingi.
Ni wachache saana kiongozi wanastahili hayo.

Hata wanaume ni Wachache Sana wenye sifa Njema. Mifano IPO mingine.
 
Kuna Dingi mmoja alifanya haya yote usemayooo ..... kumbe mke ana mpango kando na unamshughulikia sawa sawa
 
Kuna Dingi mmoja alifanya haya yote usemayooo ..... kumbe mke ana mpango kando na unamshughulikia sawa sawa

Sio tatizo mtu kuwa mwema kwa familia yake kisa kuna ubaya wa Siri unafanywa na mwenza wake.

Mashetani ndio hujipa excuse ya kufanya mambo mazuri kisa vitu kama hivyo
 
Mda wote kuwaza kufurahisha mwanamke ni dalili za udhaifu,walikuwepo kina Mwaka na ngonjera zao wako wapi saizi? Hayanaga formula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…