Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Sana yaani
Njoo nikutoe Out la Mwaka mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana yaani
Kweli
Ondoa neno LAZIMA na yanayobaki yote ni HIARI. 🔨
Mkuu hiyo sio kambi ya JKT ni nyumba ya watu wenye maamuzi yao bianafsiZawadi na out sio hiyari.
Kwenye Ndoa mapenzi sio hiyari ni lazima
Mda wote kuwaza kufurahisha mwanamke ni dalili za udhaifu,walikuwepo kina Mwaka na ngonjera zao wako wapi saizi? Hayanaga formula.
Mkuu hiyo sio kambi ya JKT ni nyumba ya watu wenye maamuzi yao bianafsi
Hao hao unaomaanisha weweNazungumzia Familia ambapo ni Mkeo na watoto..
Wanawake ni neno ambalo ukilitamka halijengi sifa Njema kama utamanisha Mamaako au Mkeo au bintiyo.
Ni Sawa na Binti yako atamke Wanaume alafu humo ndani akumaanishe na wewe. Huo ni ukosefu wa adabu
Hao hao unaomaanisha wewe
Naelewa na ndio maana nasema ni HIARI ila suala la kuheshimiana ni lazimaMapenzi kwa Mkeo sio hiyari ni LAZIMA. Ni wajibu wako kufanya hivyo
Ni Sawa useme Mkeo kukuheshimu na kukutii ni hiyari yake. Utakuwa huelewi mambo ya Ndoa
Hivyo hivyo nilivyosema,hata mama yangu au wako ni shetani muulize baba Yako ana majibu Mazuri zaidi yanguUnakosea Sana.
Ukisema wanawake wote mashetani utamjumuisha Mamaako?
Nafikiri protocol za kimahusiano na vyeo vya mahusiano vinawachanganya wengi.
Duh huku umeenda mbali mkuu jenga hoja tu inatosha, suala la zawadi ni HIARi over🔨Hivyo hivyo nilivyosema,hata mama yangu au wako ni shetani muulize baba Yako ana majibu Mazuri zaidi yangu
Naelewa na ndio maana nasema ni HIARI ila suala la kuheshimiana ni lazima
Hivyo hivyo nilivyosema,hata mama yangu au wako ni shetani muulize baba Yako ana majibu Mazuri zaidi yangu
Kwahiyo hapa kiongoz unasema mama hastaili kabisa kupata upendo wangu Kwa kuwa ni familia ya baba angu eti!?Mke na Mama ni watu wawili tofauti.
Anachokupa Mke Mama hawezi kukupa.
Na alichokupa Mama mke hawezi kukupa.
Mama yako ni Mke wa Babaako.
Mwenye jukumu la kumpa mapenzi ni Babaako sio wewe.
Mama yako sio familia yako ndio maana hawezi kukuletea Ukoo. Mama yako ni familia ya Baba yako.
Umeshakuwa mwanaume hakuna atakayeuliza habari za Mama yako . Hata kwenye Historia yako mama yako hatatajwa kabisa ila Watoto na mke wanaweza kutajwa.
Kwahiyo hapa kiongoz unasema mama hastaili kabisa kupata upendo wangu Kwa kuwa ni familia ya baba angu eti!?
Kijana fikiria tena hili jambo, mama nifamilia yako.. akiwa anaulizwa familia yake huaga nawewe unatajwa hapo ndo unapoingia wewe.
Kama humpi Mkeo HAKI yake Mkeo hawezi kuelewana na wazazi wakoAcha kuhalaridha hi mambo kiongozi, haya mawazo yako ndo yanayofanya wanawake wengi wasielewane na mama wakwe(mama wa wanaume ) zao.
Kwasababu anafikri yeye sio sehem ya familia yake.
Umeshajiuliza kwann tumeambiwa tuishi nao Kwa akili!?
Yaani aliyewaumba ametuambia tuishi nao Kwa akili, kiongozi we huogopi hapo!?
Inasikitisha sana, badala ya kuhamasisha vijana wajijenge kiuchumi mnawapa mawaidha ya kitoto hivi.
Unaona sasaKuna Dingi mmoja alifanya haya yote usemayooo ..... kumbe mke ana mpango kando na unamshughulikia sawa sawa