Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Kafinyiwa ghafla kawasaliti 😹😹Mkuu dakika za mwisho kabisa umeanza kushambulia langoni kwetu
Kwani kikao cha mwisho tulikubaliana nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafinyiwa ghafla kawasaliti 😹😹Mkuu dakika za mwisho kabisa umeanza kushambulia langoni kwetu
Kwani kikao cha mwisho tulikubaliana nini?
Comment yangu ya kufungia mwaka 😹😹Mbona huwa unaandika thread ndefu sana huwa unajishughulisha na kazi gani?
Wewe mtibeli ulivyo bahili wewe 😂😂😂Njoo nikutoe Out la Mwaka mpya
Wewe mtibeli ulivyo bahili wewe 😂😂😂
Kiongozi hii sio kauli fikirishi, Hawa viumbe wameumbwa complicated saana.. na ndo jeshi la shetani hili kama hujui.Kuishi kwa Akili na mwanamke ni jukumu la mwanaume hata usingeambiwa.
Amri hizo zimetolewa kwa watu ambao hawawezi kujiongeza Mpaka waambiwe
Ni kweli hawez kudai Kwa sababu anajua ni jukum lako ww kumjali yey,Mama hawezi kudai popote umtoe Out au umpe Zawadi kwa sababu sio HAKI yake kwako. Ila Mke anaweza kulalamika popote na akawa na hoja. Ikiwemo kumlalamikia Mamaako kuwa Mume(wewe) hutimizi wajibu wako
Sio kweli, huu ni upendo Ambae mtoto hufundishwa na wazaz sio kwakuwa bab yao hatimizi.Watoto wanaopenda kuwafurahisha Mama zao ni matokeo ya Baba Zao kutofanya wajibu wao kwa Wake zao(mama za watoto)
Nikila hela yako nakuja kufungua thread nitoe ushuhuda.Hujui tuu
Hakuna Raha kama kula pesa za bahili.
Kama ilivyo Raha kula pesa za Wanawake.
Kula pesa zisizoliwa ni tamu sana
Aisee[emoji2][emoji2]Kafinyiwa ghafla kawasaliti [emoji81][emoji81]