Kwahiyo hapa kiongoz unasema mama hastaili kabisa kupata upendo wangu Kwa kuwa ni familia ya baba angu eti!?
Unaweza kumpenda lakini huwezi kumpenda kama Mkeo.
Mkeo ni familia yako.
Mama yako ni familia ya Baba yako.
Ndio maana Mama au Baba atakufukuza ukaanzishe mji wako(familia yako"Mkeo na watoto).
Hapa hatuzungumzii Nani zaidi ya mwenziye. Ila Nani anastahili kipi kutoka kwa Nani.
Mama hawezi kudai popote umtoe Out au umpe Zawadi kwa sababu sio HAKI yake kwako. Ila Mke anaweza kulalamika popote na akawa na hoja. Ikiwemo kumlalamikia Mamaako kuwa Mume(wewe) hutimizi wajibu wako.
Kijana fikiria tena hili jambo, mama nifamilia yako.. akiwa anaulizwa familia yake huaga nawewe unatajwa hapo ndo unapoingia wewe.
Mama sio familia yako. Mama ni familia ya Babaako.
Ndio maana Baba anaweza kukuingilia usimsumbue mkewe(Mamaako) na wakakufukuza hapo nyumbani.
Acha kuhalaridha hi mambo kiongozi, haya mawazo yako ndo yanayofanya wanawake wengi wasielewane na mama wakwe(mama wa wanaume ) zao.
Kama humpi Mkeo HAKI yake Mkeo hawezi kuelewana na wazazi wako
Na kama Babaako hakumpa Mama yako mapenzi lazima ayatafute mapenzi kwa watoto.
Watoto wanaopenda kuwafurahisha Mama zao ni matokeo ya Baba Zao kutofanya wajibu wao kwa Wake zao(mama za watoto)
Kwasababu anafikri yeye sio sehem ya familia yake.
Umeshajiuliza kwann tumeambiwa tuishi nao Kwa akili!?
Yaani aliyewaumba ametuambia tuishi nao Kwa akili, kiongozi we huogopi hapo!?
Kuishi kwa Akili na mwanamke ni jukumu la mwanaume hata usingeambiwa.
Amri hizo zimetolewa kwa watu ambao hawawezi kujiongeza Mpaka waambiwe