Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Waslaam wakuu!

Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu.
Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.

Basi mwanaume ukitaka kujua Kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako Basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.

Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango Cha upendo wake kwako.
Kwa hiyo fanya hivi👉 Akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu Yaani upo chini kbsa( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction Yake.Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja.Yaani fanya mambo yako kbsa Wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone Kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano Yaani hakutafuti Tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi Basi jua hapo huna mtu.Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.

Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye Ni gold digger kbsa🤔
Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga China haraka tafuta piss nyingine.

Tuendelee kuishi na Hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
Uchanga kwenye mambo ya mapenzi huwa unachekesha sana. Mtu anakaa sehemu anabuni theories za ajabu, mara ukitaka kujua umemridhisha demu wako baada ya gemu angalia hiki na kile..... mara ukitaka kupima penzi fanya hiki.... yaani unakuwa hujiamini amini hivi. Dogo ukikua utakuja kugundua kuwa haya makitu hayana formula maalum.
 
Nishakuwa mtu mzima bana,Mimi sio dogo pliz.
 
Waslaam wakuu!

Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu.
Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.

Basi mwanaume ukitaka kujua Kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako Basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.

Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango Cha upendo wake kwako.
Kwa hiyo fanya hivi[emoji117] Akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu Yaani upo chini kbsa( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction Yake.Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja.Yaani fanya mambo yako kbsa Wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone Kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano Yaani hakutafuti Tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi Basi jua hapo huna mtu.Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.

Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye Ni gold digger kbsa[emoji848]
Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga China haraka tafuta piss nyingine.

Tuendelee kuishi na Hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
Kwahicho kipimo huwezi kupata pisi ya kuoa hapa bongo hata ile mbovu, labda uoe mama ako au Dada ako ata dada zako sio wote wengine ukimnyima pesa mtatofoutiana asibuhi.
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
 
Waslaam wakuu!

Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu.
Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.

Basi mwanaume ukitaka kujua Kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako Basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.

Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango Cha upendo wake kwako.
Kwa hiyo fanya hivi👉 Akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu Yaani upo chini kbsa( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction Yake.Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja.Yaani fanya mambo yako kbsa Wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone Kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano Yaani hakutafuti Tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi Basi jua hapo huna mtu.Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.

Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye Ni gold digger kbsa🤔
Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga China haraka tafuta piss nyingine.

Tuendelee kuishi na Hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
Kwa kweli wa kwangu is the best.
Narudia tena , she's the best.
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Hapo ndipo mnafeli, mwanamke ambae yupo level ya kuomba pesa ya pad ni mzigo. Kuna vitu wanawake mnapaswa kuomba na kuna vitu unaweza maliza mwenyewe.
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Kumtunza demu ni kupoteza hela zako

Ila wapo wavulana na wanaume wajinga wajinga wanawatunza mademu zao
 
Huu uzi utapata mashambulizi makubwa sana toka kwa kina dada maana wanahisi ni haki yao kupewa pesa kwenye mahusiano.

Asilimia kubwa ya wanawake wa kitanzania (sio wote) wanaamini kuwa mahusiano ni sehemu ya kutatuliwa dhiki zao zote. Kipimo cha upendo wa mwanamke wa kibongo ni kupewa pesa.
Nami nashauri kama wanaona papuchi zao ndio kitu cha maana weende benki kuweka bondi hizo kitu zao.
 
Back
Top Bottom