Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,449
Ujinga ujinga!! Kama afaa ni anafaa kama hafai ni hafai tu 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa asiponiomba ntajuaje Kama Ana uhitaji, Mimi sio nabii ujue😂Kwanza Mwanaume anayejielewa hasubiri kuombwa ombwa hela na Mwanamke wake...
Au sio😂😂Nami nashauri kama wanaona papuchi zao ndio kitu cha maana weende benki kuweka bondi hizo kitu zao.
Tatizo lenu mnadate na Pisi kali zinazohitaji matunzo...ila kuzihudumia mnalalamika...
- Ukiona anaanza na maneno kama dear, baba, my sweet, baby and the like ujue waenda kamuliwa upepo
- Ukimwambia huna akakaa kimya then ukimuuliza akakujibu sina hela ya kujiunga nikujibu msg jua hilo tego
Ni wanaume wajinga tu ndio huwa wanatoa pesa bila kuombwaKwanza Mwanaume anayejielewa hasubiri kuombwa ombwa hela na Mwanamke wake...
Hela ya kutunza unayo basi au unachangia tuKumtunza demu ni kupoteza hela zako
Ila wapo wavulana na wanaume wajinga wajinga wanawatunza mademu zao
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Halafu vinataka kudate na watoto wazuri ambao sabuni ya kuogea tu ni kwanzia 20k[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Nakazia....Vivulana ndiyo vina tabia hiyo...
Sasa vitu vidogo kama hivyo kwenye Mapenzi vina raha yake sana....Hapo ndipo mnafeli, mwanamke ambae yupo level ya kuomba pesa ya pad ni mzigo. Kuna vitu wanawake mnapaswa kuomba na kuna vitu unaweza maliza mwenyewe.
Kwa mwanaume kamili haombwi anatoa mwenyewe...Sasa ukiona unaombwa ujue hujiongezi....au basi unataka nikuombe nini??Hapo ndipo mnafeli, mwanamke ambae yupo level ya kuomba pesa ya pad ni mzigo. Kuna vitu wanawake mnapaswa kuomba na kuna vitu unaweza maliza mwenyewe.
Mwanaume anayejielewa kuna namna anajiongeza tu(Speaking from my experience)Sa asiponiomba ntajuaje Kama Ana uhitaji, Mimi sio nabii ujue[emoji23]
Anayesubiri kuombwa ndiyo Mjinga wa mwisho...Acheni kujificha kwenye udhaifu.Ni wanaume wajinga tu ndio huwa wanatoa pesa bila kuombwa
Eti jamani...Kwa mwanaume kamili haombwi anatoa mwenyewe...Sasa ukiona unaombwa ujue hujiongezi....au basi unataka nikuombe nini??
nashangaa hapa wanakemea kutoa matunzo lakini utawakuta uzi mwingine wanasema hawataki mwanamke anaejimudu(superwoman)Hela ya kutunza unayo basi au unachangia tu