Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
- Thread starter
- #81
@
Upo sahihi mkuuNimezungumzia mwanamke anaye omba pesa ya pad, huyo kuanzia breakfast hadi dinner ni jukumu lako, nguo, house/room rent hadi vocha, hata kama pesa ipo inachosha.
Kikubwa wanawake wapambane, vijana sasa hivi hawataki mizigo. Suala la mahitaji madogo madogo hata mwanamke anapaswa kumletea mwenzake walau mara moja moja. Dunia imewapa kipaumbele sana wanawake kwa sasa tumieni nafasi.