Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Waslaam wakuu!

Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.

Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.

Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango cha upendo wake kwako.

Kwa hiyo fanya hivi, akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu yaani upo chini kabisa ( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction yake. Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja. Yaani fanya mambo yako kabisa wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano yaani hakutafuti tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi basi jua hapo huna mtu. Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.

Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye ni gold digger kbsa🤔

Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga china haraka tafuta pisi nyingine.

Tuendelee kuishi na hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
Kila ukiombwa pesa Sina,!!we ni john cena
 
Hapo kwenye kutop up hapo ndyo mada ya leo mkuu...vijana wanakwepa kabisa suala la top up
Nyie mnataka mlishwe, mvishwe, mlipiwe kodi. Hivi kijana ameanza tu ajira yake, badala ya kujiwekeza atoe kwa mtu hana future nae kweli?

Hiyo kazi tuifanye sie wazee walau inamake sense, ila kqa kijana mwenye kujitafuta, huwa nawaambia waache huo ujinga, hata huku mtaani nawaambia sana. Don't bribe for sex, mkifanya yenu mpe asante, inatosha.
 
  1. Ukiona anaanza na maneno kama dear, baba, my sweet, baby and the like ujue waenda kamuliwa upepo
  2. Ukimwambia huna akakaa kimya then ukimuuliza akakujibu sina hela ya kujiunga nikujibu msg jua hilo tego
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hadi nimeogopa kumuita mtoto wa mtu dear[emoji16]
 
Anakudanganya huyo

Wanaume sio wazembe hivyo.

Kua makini dada, JF kuna huyo jamaa na Twitter kuna Vunjabei

Unabidi uwe makini hao watu wanawaponza sana dada zetu siku hizi.
Mkuu hakuna wanaume wanaohudumia vizuri kama nyie mnaokataaga ila ndio uhalisia.
 
Back
Top Bottom