Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Utapeli na ni maamuzi yako? Kwani kuna mtu anafosiwa kufanya hivyo?
Ushawahi kuona tapeli anashika kisu ili apate anachotaka?

Tapeli anatumia hisia kujipatia anachotaka.

Means unakuwa fooled na kuamini alichokuambia ni kweli na kujikuta unafanya maamuzi kwa hiari yako.

Then mwisho wa siku boooom! Umepigwa
 
Ni kama ninyi mnavyosemaga ukiona mwanamke hakupi 'k' muda wowote unaotaka ujue hakupendi kwamba lazima kuna mwamba anampa muda wowote anaotaka, sasa na wao wanatembea mule mule kwamba ukiona mwanaume hakupi hela muda wowote unaotaka ujue hakupendi na lazima kuna mwanamke mwingine huko anampa muda wowote anaotaka, uzuri huwa mnasema wenyewe hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja so wala msiwalaumu wanawake
Nani alikwambia kupewa K au pesa kipimo cha upendo?
 
Sahihi....
Ila sasa kwanini mtu anataka kuwa na Mwanamke ambaye hana uwezo naye...

Mwanamke hata kama ana hela yake.. ..hela ya Mwanaume wake anaitaka pia....
Ni asilimia chache ya wanaume atakwenda kwa mwanamke kwa sababu za kutatua kero na changamoto za kiuchumi, lakini kwa mwanamke yupo radhi atembee na kiumbe cha ajabu, au mzee wa miaka 90 na anamuita baby kisa tu wallet inasoma.

Sasa hizo kutaka pesa ya mwenzio ndio tamaa zenyewe mlizonazo, yaani hamridhiki.
 
Ushawahi kuona tapeli anashika kisu ili apate anachotaka?

Tapeli anatumia hisia kujipatia anachotaka.

Means unakuwa fooled na kuamini alichokianbia ni kweli na kujikuta unafanya maamuzi kwa hiari yako.

Then mwisho wa siku boooom! Umepigwa
Kupigwa kupo ndio maana ulieanza nae safari sio utakaemaliza nae, ndio mahusiano yalivyo kwa asilimia kubwa na kwa wengi.

Ulishawahi kujiuliza ni kwanini wanaume tunapenda kuongopa ili tuwapate KE?
 
Ni asilimia chache ya wanaume atakwenda kwa mwanamke kwa sababu za kutatua kero na changamoto za kiuchumi, lakini kwa mwanamke yupo radhi atembee na kiumbe cha ajabu, au mzee wa miaka 90 na anamuita baby kisa tu wallet inasoma.

Sasa hizo kutaka pesa ya mwenzio ndio tamaa zenyewe mlizonazo, yaani hamridhiki.
Hii ni ngumu. Kumuomba mwanamke hela?

Hapo ni kutafuta masela wakusaidie, ndo maana marafiki wa kiume ni muhimu sana.
 
Kupigwa kupo ndio maana ulieanza nae safari sio utakaemaliza nae, ndio mahusiano yalivyo kwa asilimia kubwa na kwa wengi.

Ulishawahi kujiuliza ni kwanini wanaume tunapenda kuongopa ili tuwapate KE?
Kupigwa kupo nakubali, ila sio kwa uzembe.

Yani haiwezekani ukawa umeona dalili zote za kupigwa na bado ukaendelea kutoa ushirikiano kwa mpigaji

Ni kwasababu wao ndio wanataka sisi tuwaongopee.

Na hata mimi nakushauri badala ya kufungua wallet ukampa hela ni bora utumie hiyo mbinu hapo juu.
 
Back
Top Bottom