Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Tatizo lenu mnadate na Pisi kali zinazohitaji matunzo...ila kuzihudumia mnalalamika...

Mtu anavaa wigi la laki 3/5 then hana shughuli yoyote anafanya... Au ni wale wenye maduka ya nguo/liquor..Then utegemee nini?

Ukitaka asikuombe hela komaa na size yako..
Tena wazijue size zao kweli kweli!

Mimi wa kwangu nimempa bure mapenzi miaka na miaka sababu nilijua atakuwa wangu, kitu ambacho kweli kilitokea, now mimi ni muhasibu wake! How about that 😜

Honestly: mtu hana mpango wowote na wewe, ana demu wake, au mke wake, hajakuonesha kama anakupenda, yupo kimitego mitego mguu ndani mguu nje, ana siri kama zote halafu umpe mapenzi bure! Aaaiii subutu sio kweli! Wao wanaume wangekuwa sisi wangetoa K bure??

Kauli mbiu, haiuzwi lakini haitolewi bure.
 
Ni kama ninyi mnavyosemaga ukiona mwanamke hakupi 'k' muda wowote unaotaka ujue hakupendi kwamba lazima kuna mwamba anampa muda wowote anaotaka, sasa na wao wanatembea mule mule kwamba ukiona mwanaume hakupi hela muda wowote unaotaka ujue hakupendi na lazima kuna mwanamke mwingine huko anampa muda wowote anaotaka, uzuri huwa mnasema wenyewe hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja so wala msiwalaumu wanawake
Nyie mna mindset kama sie wanaume tuna shida saaana na 'k' wakati utamu mnapata wote. Jinsia zote wana uhitaji wa sex.

Kwanza mdau wetu Musk ameliona hilo na anatuletea tesla bot tutawatumia kama sex partner, hakuna UTI wala mimba na STD za ajabu.
Ombeni sana Mungu.
 
Tena wazijue size zao kweli kweli!

Mimi wa kwangu nimempa bure mapenzi miaka na miaka sababu nilijua atakuwa wangu, kitu ambacho kweli kilitokea, now mimi ni muhasibu wake! How about that 😜

Honestly: mtu hana mpango wowote na wewe, ana demu wake, au mke wake, hajakuonesha kama anakupenda, yupo kimitego mitego mguu ndani mguu nje, ana siri kama zote halafu umpe mapenzi bure! Aaaiii subutu sio kweli! Wao wanaume wangekuwa sisi wangetoa K bure??

Kauli mbiu, haiuzwi lakini haitolewi bure.
Natamanigi ingekuwa Vice-Versa, utamu maradufu uwe kwenye Mboro... ili nyinyi ndo muwe mnatuwinda sisi tukawakanyage mashine 😋🤤👍🏾
 
Tena wazijue size zao kweli kweli!

Mimi wa kwangu nimempa bure mapenzi miaka na miaka sababu nilijua atakuwa wangu, kitu ambacho kweli kilitokea, now mimi ni muhasibu wake! How about that 😜

Honestly: mtu hana mpango wowote na wewe, ana demu wake, au mke wake, hajakuonesha kama anakupenda, yupo kimitego mitego mguu ndani mguu nje, ana siri kama zote halafu umpe mapenzi bure! Aaaiii subutu sio kweli! Wao wanaume wangekuwa sisi wangetoa K bure??

Kauli mbiu, haiuzwi lakini haitolewi bure.
Sijakuelewa.
 
Fresh sana, muhimu vigezo na masharti vifikiwe. Huwa uchakavu ni muhimu ila sio kutoa huduma...vijana wanatakiwa kujitambua sana, la sivyo watadhalilika badae. Kuhonga hakujawahi kumfaidisha mwanaume yoyote duniani.
Na tuliagree hili kwenye uzi mmoja wa mtibeli, kama sio ndoa basi biashara iwekwe mezani. Nadhani watu watajifunza kufunga zipu na kufanya kazi kwa bidii.

Ila wana wa farao wanataka wapewe bure bin bure katika ulimwengu huu ambao kila kitu kinalipiwa.

Anyways ni vile tu nishakuwa shangazi sipo huko tena 😅🤓😎
 
Kupigwa kupo nakubali, ila sio kwa uzembe.

Yani haiwezekani ukawa umeona dalili zote za kupigwa na bado ukaendelea kutoa ushirikianao kwa mpigaji

Ni kwasababu wao ndio wanataka sisi tuwaonhopee.

Na hata mimi nakushauri badala ya kufungua wallet ukampa hela ni bora utumie hiyo mbinu hapo juu.
tuishi nao kwa akili.
 
Na tuliagree hili kwenye uzi mmoja wa mtibeli, kama sio ndoa basi biashara iwekwe mezani. Nadhani watu watajifunza kufunga zipu na kufanya kazi kwa bidii.

Ila wana wa farao wanataka wapewe bure bin bure katika ulimwengu huu ambao kila kitu kinalipiwa.

Anyways ni vile tu nishakuwa shangazi sipo huko tena 😅🤓😎
Mishangazi ni my passion pia 😋🤤🤩
 
Back
Top Bottom