Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Aisee 😂
 
Hakika nimependa maoni yako mkuu
 
Nimekuelewa Sana mkuu ahsante kwa ushauri wako mzuri
 
Wanaume wote hawafanani unaweza unajikuta unapata mtu sahihi Ila kwasababu umekariri Maisha kulingana na past relationship yako utajikuta unampoteza huyo mtu sahihi kwa matendo yako
 
Ni kweli, lakn huwezi kukubali kitu bila ya kutest kwanza..
 
Alafu unashangaa wanawashangaa wanawake wenzao wanaojiuza barabarani na kwenye mitandaoni wakati biashara wanaoifanya ni moja tu tofauti ni namna wanavyofanya umalaya but haiondoi kuwa wote ni malaya
 
Ni kweli Dada, lakn Majambazi siku hizi ni wengi san kwahyo ni vema kupimana kidogo.
 
Ukisoma hizi comments ndipo utajua siku hizi ngono imekuwa rahisi sababu inathaminishwa na pesa na si upendo tena na ndio maana Single parent kuisha ni kazi sana kwani kila siku linazidi kuongezeka.

Ila ndio life letu vijana wa siku hizi kivyetuvyetu,siku hizi ukiwauliza wana wanakwambia "pale hela yako........" na ukimfuata binti "utawasikia acha ubahili....",ukiwa mwelewa inakuwa mwendo wa kuwagonga tuuu.
 
Sahihi....
Ila sasa kwanini mtu anataka kuwa na Mwanamke ambaye hana uwezo naye...

Mwanamke hata kama ana hela yake.. ..hela ya Mwanaume wake anaitaka pia....
Mbona ikifikia suala la usawa mnapoadvocate 50% kwa 50% kwenye pesa hampagusi?
 
Tumeona brothers waliosomesha mademu zao wanaishia kusalitiwa inapelekea wanajinyonga sad.wanawake muwe na huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…