Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Tunataka kizazi cha vijana wanaojitambua, hakuna mwanaume aliyetajirika au kinufaika kwa kuhonga. Zaidi sana ni majuto tu baada ya round mbili au kimoko🤣
Acha kuharibu vijana ili wasuse nyie wazee mjipakulie minyama kwa kuwahonga pembeni, nyie wazee waongo 😂😂😂
 
At the end of the day nyie ndo mtaumia.Mtabaki na vipochi manyoya vyenu sisi tubaki na hela zetu afu tuone Sasa😂
Kitu cha kufurahisha misimamo mnaweka na kichwa cha juu, ila ukifika utekelezaji kichwa cha chini hakiwezi kukuelewa na lazima ukisikilize la sivyo madhara unayajua 😂😂😂😂
 
Waslaam wakuu!

Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.

Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.

Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango cha upendo wake kwako.

Kwa hiyo fanya hivi, akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu yaani upo chini kabisa ( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction yake. Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja. Yaani fanya mambo yako kabisa wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano yaani hakutafuti tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi basi jua hapo huna mtu. Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.

Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye ni gold digger kbsa🤔

Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga china haraka tafuta pisi nyingine.

Tuendelee kuishi na hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
Ukiwa serious Sana na mwanamke utawehuka , kazi ya mwanaume is-to- fu-ck na kulea , basi ..kama pesa unayo mpe , kama huna huna tuu , akizingua yes hapo go for another one ... Don't be serious na hawa watu utakuwa chizi , mwanamke anaongozwa na hsia na reaction zake huwa ni kulingana na current issue , mwanamke hanaga kitu kinaitwa future , mwanaume ana kitu kwenye mindset kinaitwa future na uwezo wa ku-foreseen na ndo mana ana stahimili na kuvumilia magumu ili aweze kuyakabili mazingira , mwanamke yeye ameumbwa just to spend ready made environment, unaweza jifanya unampima kumbe mwenzako akareact badly we Kwa akili yako mbovu ukamwacha ukaenda Kwa mwingine...!! Usiichukulie akili ya mwanamke same to akili ya mwanaume kwenye kumake judgement.. hawanaga busara na hekima pia hawana
 
Huu uzi utapata mashambulizi makubwa sana toka kwa kina dada maana wanahisi ni haki yao kupewa pesa kwenye mahusiano.

Asilimia kubwa ya wanawake wa kitanzania (sio wote) wanaamini kuwa mahusiano ni sehemu ya kutatuliwa dhiki zao zote. Kipimo cha upendo wa mwanamke wa kibongo ni kupewa pesa.View attachment 2785771
mawardat nipe jibu....kama lugha tatizo nitakutafsiria
 
Wewe zalisha watoto 3 Kisha Pima dna kama wote wako huyo mke
 
Boss umemaliza 🙌
Hao wanaosema tusipewe pesa ni kwamba hizo pesa zenyewe hawana wasizunguke 🤣🤣🤣🤣
Halafu shem wewe sio kakaangu Vunja kweli? Mapembelo
Mkuu habari yako? Vipi kuna miduara ipo sehemu uko vizuri? Tuyajenge
 
Waslaam wakuu!

Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.

Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.

Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango cha upendo wake kwako.

Kwa hiyo fanya hivi, akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu yaani upo chini kabisa ( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction yake. Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja. Yaani fanya mambo yako kabisa wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.

Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano yaani hakutafuti tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi basi jua hapo huna mtu. Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.

Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye ni gold digger kbsa🤔

Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga china haraka tafuta pisi nyingine.

Tuendelee kuishi na hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
Hayo mapenzi ya kweli unayatafuta ili uyapeleke wapi chief
 
Huu uzi utapata mashambulizi makubwa sana toka kwa kina dada maana wanahisi ni haki yao kupewa pesa kwenye mahusiano.

Asilimia kubwa ya wanawake wa kitanzania (sio wote) wanaamini kuwa mahusiano ni sehemu ya kutatuliwa dhiki zao zote. Kipimo cha upendo wa mwanamke wa kibongo ni kupewa pesa.View attachment 2785771
Jamaa yupo sahihi sana..na ukitaka mwanamke wa kibongo akuache kwa haraka we mnyime pesa tu
 
Nasema hivii
Mwanamke apewe pesa......
Narudia tena "MWANAMKE APEWE PESA"
Ni wajibu wa mwaume kumhonga mwanamke

Akina mama kuna ka feeling flani tunapata sisi wanaume tunapo wahonga nadhani kanakua mara mbili ya kale ka feeling mnapata tukiwahonga....
Kwa post hii utawala sana humu, mbinu hii inafanya kazi.
Ongeza sauti mkuu
 
Kupenda ni nini ?

Kwamba mtu akipenda anapenda kitu gani hasa ?
Na Je Character sio Part ya Upendo ?
Na Je ubahili hauwezi ukawa deal breaker kwamba ingawa anakupenda ila ubahili / uchoyo kwake ni turn-off
Man all i know UBAHILI KWA WANAWAKE NI DEAL BREAKER, and if you don't give them money its a turnoff.
And sikuiz kutokana na maisha kuwa magumu wanawake wamejiwekea price tag ambayo we huijui ila ye anaijua kwamba ikitokea mtu akampampa vihela vya hapa na pale na vizawadi vya uongo na ukweli, basi hapo atapewa pusay kama malipo.

Wasichokijua wanawake mwanaume akiwafata huwa tayari anajuaga huyu mwanamke kajigrade wapi, so huwa kama yupo serious anataka kumvua chupi huwa anamwekea budget yake ambayo hiyo budget ikifika mwisho hajala mzigo anapiga chini , anaona kama ni alidaka odds 3 akakandamiza stake then magwaya na vijana wake wakachana mkeka.

Na mara nyingi hapa ndio wanapokujaga dadazetu kupoteana sababu jamaa kaamua kupotezea na kakata zile pesa haziend tena wao wanaumiaga, inakuja siku anashida kweli kweli unashangaa kamvutia waya jamaa yule yule anataka asaidiwe ila saivi anakuwa anajua bila kumpa hawez nipa sababu nilishamzingua , sasa ngoja nikampe anisaidie shida zangu , then ntajifanya nampenda kweli kweli ili nimrudishe kwenye track. Kanajipeleka kwa mhuni anaenda kukakandamizwa msumari wa moto(yale majamaa yanayokaza huku yananong’oneza), demu anaelewa show na hela kapewa, akirud kwake misms kibao ya kuelewa na nini akijua anamjaza jamaa mazima, bwanamkubwa akikumbuka upuuz aliofanyiwa anaona bora aende kwa jeni yule ambae hana makuu, and the loop goes on and on.

The thing is wakati wanawake wanadhan wanajipandisha value kwa kuset standard fulan za kuendesha relationship ndio hapo hapo huwa wanajishusha value. Hii ndio sababu relationship nyingi sana zinavunjika.

Sisemi kama usimpe hela mwanamke wako hapana, wenzako watamkaza mchana kweupe kila siku utakuwa unalia, nachojaribu kusema kuna namna wanawake wanafanya wakidhan wanajibrand kumbe ndio wanajibrandua …OVA..
 
Jamaa yupo sahihi sana..na ukitaka mwanamke wa kibongo akuache kwa haraka we mnyime pesa tu
This is true. Kuna mwanamke katika mipango yetu nlimwambiaga ntampa 5m afanye biashara sasa akawa akiomba hela nampa mara mbili yan kama elfu hamsini nampa laki hiyo nyingine asave aniwekee nna shida nayo. Zoezi likaenda vizuri na liliambatana na record matata kwenye excel moja kwenye pc yangu, baada ya mwaka zikafika zile hela excel si ilikuwa inajumlisha nikamwomba ile hela naona analeta M1, nikaichukua nikamwambia ukweli ilitakiwa iwe 5M na hii ndio hela nilitaka kukupa, nikaigawa ile hela nusu kwa nusu tukagawana hasara na stori ikaishia hapo.
 
Back
Top Bottom