Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Eeeh!! naona mnaringia vidudu vyenu, kwani iliumbwa ili ifanywe nini? si ili ikunwe, sasa mnaringia ili iweje? kwani ukinibariki niikune kisawa sawa utapata hasara gani as long as ni safe sex? unakitunza mwisho kitapata kutu.

Ngoja tusubiri tesla bot na zikija 'k' mtageuza vibubu vya kutunzia coin.. 🤣
😂😂 Eti watageuza vibubu vya kutunzia coins, umetisha Sana mkuu
 
Nasema hivii
Mwanamke apewe pesa......
Narudia tena "MWANAMKE APEWE PESA"
Ni wajibu wa mwaume kumhonga mwanamke

Akina mama kuna ka feeling flani tunapata sisi wanaume tunapo wahonga nadhani kanakua mara mbili ya kale ka feeling mnapata tukiwahonga....
Boss umemaliza 🙌
Hao wanaosema tusipewe pesa ni kwamba hizo pesa zenyewe hawana wasizunguke 🤣🤣🤣🤣
Halafu shem wewe sio kakaangu Vunja kweli? Mapembelo
 
Ajengewe sanamu lake la kipekee kuliko hata la baba wa taifa![emoji1783]
Huwa ananikera lakini, huwa namlazimisha sana nimtumie kuna muda nataka hata nimlipie kitu flani hataki anazuga zuga alafu anapotezea hata nikimlazimisha hataki

Mbinu niliyobuni ni kununua vitu then nampatia kama zawadi hapo anapokea
 
Ulianza kuwa ulitoa mapenzi Bure baadae sijui k haigaiwi bure, mkanganyiko, natoka.
Usitoke,

mimi nikisema bure namaanisha kuwa sikuomba, willingly nilitoa bure….. ila nilipewa. Na alinipa kulingana na uwezo wake wa kipindi hiko.

Ndio unakuja msemo wa haiuzwi wala haitolewi bure! Unadhani angekuwa hanipi ningebaki? Thubutu we! Huu usemi ukiufikiria vizuri utaelewa maana yake. Na ndio kauli mbiu.

Hey, Unawafikiria wanawake ambao hawaombi hela masikini ya Mungu, wako loyal, wanabehave lakini mwisho wa siku wanaachwa anaolewa yule yule muomba hela, hehehe Kwahiyo kipi bora? Bora angeomba zake akiachwa anajua nimeachwa kihalali.
 
Bora na wewe umeliona hilo mkuu ila humu wanajifanya wanasema eti anayehudumiwa ni mke tu na siyo demu, hapo sana sana utaambiwa sababu ni kwamba wake zao ni wavivu kukata viuno na kwamba wanawabania sana utamu wakidai wamechoka hivyo michepuko ndio iko vizuri, ila huyo huyo mke ndiye anayemsaidia kutafuta pesa, kulipa bili, kumlelea watoto na bado akiumwa mchepuko anaingia mitini mke ndio anabaki kuhangaika na mzigo wake
Wawaoe sasa hao wakata viuno waone kasheshe. Hivi viumbe pasua kichwa sana
 
Nasema hivii
Mwanamke apewe pesa......
Narudia tena "MWANAMKE APEWE PESA"
Ni wajibu wa mwaume kumhonga mwanamke

Akina mama kuna ka feeling flani tunapata sisi wanaume tunapo wahonga nadhani kanakua mara mbili ya kale ka feeling mnapata tukiwahonga....
Boss huna baya ukifa huozi....waambiwe hawa na wasikie
 
Huwa ananikera lakini, huwa namlazimisha sana nimtumie kuna muda nataka hata nimlipie kitu flani hataki anazuga zuga alafu anapotezea hata nikimlazimisha hataki

Mbinu niliyobuni ni kununua vitu then nampatia kama zawadi hapo anapokea
Huyo malaika anapatikana wapi? 😂😂😂
 
Nasema hivii
Mwanamke apewe pesa......
Narudia tena "MWANAMKE APEWE PESA"
Ni wajibu wa mwaume kumhonga mwanamke

Akina mama kuna ka feeling flani tunapata sisi wanaume tunapo wahonga nadhani kanakua mara mbili ya kale ka feeling mnapata tukiwahonga....
Mweeeeh[emoji6]
 
Back
Top Bottom