Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
- Thread starter
- #321
Mkuu nenda bar iliyo karibu upewe bia tano Kisha unitumie bill.Narudia tena, kuhudumia mwanamke ambaye hamjafungamana kwa lolote ni upotevu wa rasilimali, jukumu la kuhudumia ni la baba yake tu, wewe unaweza kumsaidia kidogo, tena kidogo mkuu. Resources zako zielekeze mahali sahihi, hutajuta uzeeni