Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Hahaha halafu kweli, hata mimi nimegundua mara nyingi kwenye mada kama hizi huwa tuna miandiko sawa, hata wewe huandika mengi yaliyopo kichwani mwangu

Hawa ndugu zetu wanajitoa ufahamu sana utasikia "wanawake mtupende kama tulivyo", hapo ujue anamaanisha umpende yeye pamoja na tabia zake zote mbovu umalaya, ulevi, ubinafsi, et al wakati wao wenyewe hawana mapenzi ya aina hiyo

Hapo kwenye urafiki unakaribishwa tu muda wowote
Hujawahi kuniangusha kwenye kupasua ukweli na kuweka kitu wazi.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ni asilimia chache ya wanaume atakwenda kwa mwanamke kwa sababu za kutatua kero na changamoto za kiuchumi, lakini kwa mwanamke yupo radhi atembee na kiumbe cha ajabu, au mzee wa miaka 90 na anamuita baby kisa tu wallet inasoma.


Sasa hizo kutaka pesa ya mwenzio ndio tamaa zenyewe mlizonazo, yaani hamridhiki.
Njaa za kibwegr hizo wala hata sio huduma ila wanataka zaidi ya wanacho offer
 
Eeeh!! naona mnaringia vidudu vyenu, kwani iliumbwa ili ifanywe nini? si ili ikunwe, sasa mnaringia ili iweje? kwani ukinibariki niikune kisawa sawa utapata hasara gani as long as ni safe sex? unakitunza mwisho kitapata kutu.

Ngoja tusubiri tesla bot na zikija 'k' mtageuza vibubu vya kutunzia coin.. 🤣
Kibane bane, mwisho kiliwe na nyenyere 🎼🎧🎤

Sijui nini nini …. Kwa utamu gani si nitaupata hata kwa sabuni 🎧🎼🎤

Wana wa farao wamenielewa! 🤣🤣🤣
 
Huelewi sababu si mwanamke! Mi mbona nimeelewa alichosema. Mambo ya wanawake tuachie wenyewe mwisho utataka kuelewa tukishikwa kis.mi tunajisikiaje.

Pardon my french!
Logical haieleweki Mkuu atleast mbadilishe narrative

msema mnafurahi mkipewa Wakati hamna kitu si mna vitu vingi halafu at the same time mnafurahi mkipewa kidogo.
 
Na tuliagree hili kwenye uzi mmoja wa mtibeli, kama sio ndoa basi biashara iwekwe mezani. Nadhani watu watajifunza kufunga zipu na kufanya kazi kwa bidii.

Ila wana wa farao wanataka wapewe bure bin bure katika ulimwengu huu ambao kila kitu kinalipiwa.

Anyways ni vile tu nishakuwa shangazi sipo huko tena 😅🤓😎

Shangazi kiziwi, shikamoo aunt. Mishe mishe nigani mkuu..

-Kaveli-
 
Si ndio ushangae, kuna vidada vinakunywa Konyagi, K vant na pilsner, ukivikuta maeneo eti anaagiza Hennessy na shots za tequila kisa tu mwanaume ndiye unatoboka. Halafu yaliyomo hamna hata maajabu.
Sasa si matatizo hayo. Yeye kwa hela yake hawezi agiza Savanah anaona aghali ila akiwa na wewe ataagiza Amarula. 😀
 
Back
Top Bottom