Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana watu wanadai hela! Hivi wanaume wataelewa lini jamani?Unaweza kuta unaupataga mwenyewe pia 🤣🤣🤣🤣
Hujawahi kuniangusha kwenye kupasua ukweli na kuweka kitu wazi.Hahaha halafu kweli, hata mimi nimegundua mara nyingi kwenye mada kama hizi huwa tuna miandiko sawa, hata wewe huandika mengi yaliyopo kichwani mwangu
Hawa ndugu zetu wanajitoa ufahamu sana utasikia "wanawake mtupende kama tulivyo", hapo ujue anamaanisha umpende yeye pamoja na tabia zake zote mbovu umalaya, ulevi, ubinafsi, et al wakati wao wenyewe hawana mapenzi ya aina hiyo
Hapo kwenye urafiki unakaribishwa tu muda wowote
Njaa za kibwegr hizo wala hata sio huduma ila wanataka zaidi ya wanacho offerNi asilimia chache ya wanaume atakwenda kwa mwanamke kwa sababu za kutatua kero na changamoto za kiuchumi, lakini kwa mwanamke yupo radhi atembee na kiumbe cha ajabu, au mzee wa miaka 90 na anamuita baby kisa tu wallet inasoma.
Sasa hizo kutaka pesa ya mwenzio ndio tamaa zenyewe mlizonazo, yaani hamridhiki.
Jirani ni wewe kweli? 🤣🤣🤣Timiza wajibu wako kama mwanaume
Kibane bane, mwisho kiliwe na nyenyere 🎼🎧🎤Eeeh!! naona mnaringia vidudu vyenu, kwani iliumbwa ili ifanywe nini? si ili ikunwe, sasa mnaringia ili iweje? kwani ukinibariki niikune kisawa sawa utapata hasara gani as long as ni safe sex? unakitunza mwisho kitapata kutu.
Ngoja tusubiri tesla bot na zikija 'k' mtageuza vibubu vya kutunzia coin.. 🤣
Ifike wakati pesa isinunue utu wetu uduguuu!!Hujawahi kuniangusha kwenye kupasua ukweli na kuweka kitu wazi.
[emoji122][emoji122][emoji122]
Wanajitoa tu ufahamu hawa🤣Ndio maana watu wanadai hela! Hivi wanaume wataelewa lini jamani?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata wao wanasema hivyo hivyo kuhusu sisi. Ndio maana hii debate haitakaa iishe.Bro wanawake ni actress wa hatari.
Logical haieleweki Mkuu atleast mbadilishe narrativeHuelewi sababu si mwanamke! Mi mbona nimeelewa alichosema. Mambo ya wanawake tuachie wenyewe mwisho utataka kuelewa tukishikwa kis.mi tunajisikiaje.
Pardon my french!
Na tuliagree hili kwenye uzi mmoja wa mtibeli, kama sio ndoa basi biashara iwekwe mezani. Nadhani watu watajifunza kufunga zipu na kufanya kazi kwa bidii.
Ila wana wa farao wanataka wapewe bure bin bure katika ulimwengu huu ambao kila kitu kinalipiwa.
Anyways ni vile tu nishakuwa shangazi sipo huko tena 😅🤓😎
Si ndio ushangae, kuna vidada vinakunywa Konyagi, K vant na pilsner, ukivikuta maeneo eti anaagiza Hennessy na shots za tequila kisa tu mwanaume ndiye unatoboka. Halafu yaliyomo hamna hata maajabu.Njaa za kibwegr hizo wala hata sio huduma ila wanataka zaidi ya wanacho offer
Sasa si matatizo hayo. Yeye kwa hela yake hawezi agiza Savanah anaona aghali ila akiwa na wewe ataagiza Amarula. 😀Si ndio ushangae, kuna vidada vinakunywa Konyagi, K vant na pilsner, ukivikuta maeneo eti anaagiza Hennessy na shots za tequila kisa tu mwanaume ndiye unatoboka. Halafu yaliyomo hamna hata maajabu.
Mambo mazuri kaveli, miss u……Shangazi kiziwi, shikamoo aunt. Mishe mishe nigani mkuu..
-Kaveli-
Hili nimeligundua aisee .Bro wanawake ni actress wa hatari.
Hebu tusizunguke sana wewe mpenzi wako akiwa anakupa 'k' muda anaojisikia yeye tu utahisi niniMwanamke mpenda pesa na malaya hawana tofauti
Jirani nipo maeneo ya moja moto, moja baridi 😂Jirani ni wewe kweli? 🤣🤣🤣
Hawana huruma hawa viumbe.Sasa si matatizo hayo. Yeye kwa hela yake hawezi agiza Savanah anaona aghali ila akiwa na wewe ataagiza Amarula. 😀