COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Mkuu mojawapo ya mbinu za wanawake ni "mwananmke ukiona mwananume hakupi pesa jua kuwa HAKUPENDI!!!! "Wala sifundishi ubahili mkuu, hata nyie wanawake mnazo mbinu zenu mnazotumiaga kujustify upendo wa wanaume wenu.
Nakuunga mkono mkuuBinafsi mwanamke asiyeweza kujihudumia mpaka kwa minor things kama kujinunulia pad, vocha n.k hajanipata bado.
Huo utakuwa ni mzigo usiobebeka aisee, mpaka hela ya pad? No, Big No.
Sababu Ni ipo?Mkuu mojawapo ya mbinu za wanawake ni "mwananmke ukiona mwananume hakupi pesa jua kuwa HAKUPENDI!!!! "
Povu rukhsa
Ukitaka sababu nitakupa
Watu wanaish kwenye nyumba zao wamejenga na wanaziita magheto, yan ni maneno wanaume wanatumiaga wala sio ishue sana. Unaweza kumuuliza uko wapi akasema nipo magheton na ni nyumbani kwakePoor you..kumbe bado unaishi geto...endelea kujitafuta mkuu
Hadi mama mchungaji unazingatia maokotoo?Acha kufundisha ubahili mkuu...
Unapenda na wewe ninj kuomba omba ela nini? Mbona kama thread imeku touch sana yaan!!!!!Uzi ufungwe hapa...
Leta namba yako ya M-PESA upate bando, jibu zuri sana hili.Sikatai kutimiza Lakini lazima nihakikishe kama Kweli napendwa au nachunwa tu
Anayeomba omba hela bila sababu ya msingi ni malaya anayejiuza, hata kama hajipangi barabarani huyo anauza K, full stop.Unapenda na wewe ninj kuomba omba ela nini? Mbona kama thread imeku touch sana yaan!!!!!
Wafundishe hao, demu unanipigia mchana saa za kazi eti nikutumie buku ya bando, unashindwa kujimudu hata kwenye bando? Yaani huu uzi umepata comments nyingi ndani ya muda mfupi kwasababu umewagusa sana malaya malaya, wanaojiuza.Hapo ndipo mnafeli, mwanamke ambae yupo level ya kuomba pesa ya pad ni mzigo. Kuna vitu wanawake mnapaswa kuomba na kuna vitu unaweza maliza mwenyewe.
Sasa umalaya kama huu ndo tutoe hela, au ndo mseme tutafute hela, kwataarifa yenu tutarndelea kuwapiga tu miti na pesa mtapata kwa kupimiwa.
Siyo ombaomba, malayaombaomba wamekushambulia kweli
Wanaojiuza. Yaani hapa tunatakiwa kutumia lugha ngumu na kali, ili papuchi zao wakauze barabarani.Siyo ombaomba, malaya
Ffyatuaneni wenyewe kwa wenyewe tu. tatizo nini?Sasa umalaya kama huu ndo tutoe hela, au ndo mseme tutafute hela, kwataarifa yenu tutarndelea kuwapiga tu miti na pesa mtapata kwa kupimiwa.
Wajibu wa mwanaume ni upi?Timiza wajibu wako kama mwanaume
Wewe unaonekana ni gold digger kabisa maana nyie ndo mnasababisha wanawake wengi waonekane omba omba.Uzi ufungwe hapa...
Mimi Huwa natumia neno malaya anayejiuza, sikopeshagi.Wewe unaonekana ni gold digger kabisa maana nyie ndo mnasababisha wanawake wengi waonekane omba omba.
Hela ya pad? Huwezi kujinunulia mwenyewe? Kwanini wanawake mnageuka kuwa ombaomba mnajitweza utu wenu.Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Kuna wanawake wapambanaji hawana time na hela ya mwanaume na anajali mahusiano yake.Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man