COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Mkuu mojawapo ya mbinu za wanawake ni "mwananmke ukiona mwananume hakupi pesa jua kuwa HAKUPENDI!!!! "Wala sifundishi ubahili mkuu, hata nyie wanawake mnazo mbinu zenu mnazotumiaga kujustify upendo wa wanaume wenu.
Povu rukhsa
Ukitaka sababu nitakupa