Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Uchanga kwenye mambo ya mapenzi huwa unachekesha sana. Mtu anakaa sehemu anabuni theories za ajabu, mara ukitaka kujua umemridhisha demu wako baada ya gemu angalia hiki na kile..... mara ukitaka kupima penzi fanya hiki.... yaani unakuwa hujiamini amini hivi. Dogo ukikua utakuja kugundua kuwa haya makitu hayana formula maalum.
 
Nishakuwa mtu mzima bana,Mimi sio dogo pliz.
 
Kwahicho kipimo huwezi kupata pisi ya kuoa hapa bongo hata ile mbovu, labda uoe mama ako au Dada ako ata dada zako sio wote wengine ukimnyima pesa mtatofoutiana asibuhi.
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
 
Kwa kweli wa kwangu is the best.
Narudia tena , she's the best.
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Hapo ndipo mnafeli, mwanamke ambae yupo level ya kuomba pesa ya pad ni mzigo. Kuna vitu wanawake mnapaswa kuomba na kuna vitu unaweza maliza mwenyewe.
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Kumtunza demu ni kupoteza hela zako

Ila wapo wavulana na wanaume wajinga wajinga wanawatunza mademu zao
 
Nami nashauri kama wanaona papuchi zao ndio kitu cha maana weende benki kuweka bondi hizo kitu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…