Cryptographer
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 376
- 737
Kipindi kabla mifuko ya plastiki haijapigwa marufuku,kuna mitaa ilikuwa ukipita na mfuko transparent wenye chips kavu na kachumbari madem na wamama wazima wanakuwahi wanguu,wanakugombania kabisa kama tulivyokuwa tunawahi magari ya watu.Huo ni uchizi + ujinga yaani unapigia magoti mbususu wakati mtaani zimejazana hukoπ π π
Kila kitasa na ufunguo wake,....tafuta unayeona unaweza kummilikiDanganyaneni tu.
Acheni kuwatesa vijana na kutaka kuwakalia vichwani kisa pesa na status zenu.
Thats naturee bruhhTulia ww hakuna anayehangaika hapa nawaweka sawa tu machalii wanaoshindwa kusimamia misingi yao.
Tukio la adamu pia linathibitisha kua wanaume sisi tuna mapenzi ya kweli na tupo waaminifu sana. Ila nyie vivuruge tu, ila sema adamu hakua na option nyingi Mungu alimbania
π π π Kwenye chips hapo wanaume wa dar mnaferi pakubwaKipindi kabla mifuko ya plastiki haijapigwa marufuku,kuna mitaa ilikuwa ukipita na mfuko transparent wenye chips kavu na kachumbari madem na wamama wazima wanakuwahi wanguu,wanakugombania kabisa kama tulivyokuwa tunawahi magari ya watu.
Uongo,... si kweli, andika vitu vya uhalisia nduguKipindi kabla mifuko ya plastiki haijapigwa marufuku,kuna mitaa ilikuwa ukipita na mfuko transparent wenye chips kavu na kachumbari madem na wamama wazima wanakuwahi wanguu,wanakugombania kabisa kama tulivyokuwa tunawahi magari ya watu.
Sio misimamo potofu it's nature I do believe wewe ni mkristo.Sio kweli kuwa wanaume wote wanapenda kuongoza,acha kuwa na msimamo potofu,,
| Mwanzo 2. Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimuumba Mwanaume na mwanamke⦠Mungu akawaambia kua zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi na kuitiisha, mkatawale samaki wa baharini na ndege wa angani na kila kiumbe chenye uhai |
Kweli kabisa na kuna wanawake wanapenda kua Dominant kwa Mwanaume. Ukiona hivyo basi tambua kua kuna tatizo kwenye homoni zake au shetani kashafanya yake kwa watu hao hataki wasimame katika misingi yao ya jinsia zao.Kuna wanaume wanapenda wanawake watakao wa challenge na wengine wanapenda kuwa submissive kwa wake zao,...tembea uone
Samson kwa Delila na. Daud kwa Mke wa Uria nao wanaingia hapa?? Au hawa hawakuteseka kisa mbunye??Mwaume unayejielewa haiwezekani unalia, unashindwa kulia kisa mwanamke wako kakuzingua ni aibu mazee. Halafu wanawake wa sasa washajua wanaume wa sasa ni maboya tu hivyo wanakanyagia mafuta tu ya kuwaumiza maana washajua hamjui dhamana yenu duniani. Hivi unaanzaje kulia kisa mwanamke?
Naongeza list :Kuna wale ambao hawapendi kufanya sex (Sio impotence)
Kuna wenye HIV
Sisi Wanaume tunasema hivi kwenye Wanaume kuna sisi Wanaume. Hakuna katika sisi Wanaume tukawa na hizo fikra bali sisi Wanaume huwa tuna kuwa bora kwa wake zetu,hili ndilo la msingi.Sio kweli kuwa wanaume wote wanapenda kuongoza,acha kuwa na msimamo potofu,, Kuna wanaume wanapenda wanawake watakao wa challenge na wengine wanapenda kuwa submissive kwa wake zao,...tembea uone
Haswaa.Kuna wanaokufa daily
Hata sisi tunateleza pia! Au wao tu ndio wanaoweza kuteleza??Hao woye hawakulia kisa mapenzi kwanza walikua na milupo mingi tu sema waliteleza wakawaamini sana hao wanawake
Na hao wanaolia hapo bongoland nao nao wameteleza tuuHao woye hawakulia kisa mapenzi kwanza walikua na milupo mingi tu sema waliteleza wakawaamini sana hao wanawake