Cryptographer
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 376
- 737
Kipindi kabla mifuko ya plastiki haijapigwa marufuku,kuna mitaa ilikuwa ukipita na mfuko transparent wenye chips kavu na kachumbari madem na wamama wazima wanakuwahi wanguu,wanakugombania kabisa kama tulivyokuwa tunawahi magari ya watu.Huo ni uchizi + ujinga yaani unapigia magoti mbususu wakati mtaani zimejazana huko😅😅😅