Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume tulipoanza kuamini mapenzi ni pesa ndipo kila kitu kiliharibikaNdugu kumbuka mapenzi hayana formla labda ukiwa na hera za kukutosha sawa ila kwa sisi makabwela kuteswa ma mapenzi ni kawaida jmn tutafute hera
We ni ubavu tu wa mmeo Soma mwanzo. Kwenye bibleShaurini mtakavyoshauriana
Ila wamiliki wa *tamu ndo sie....
Msisahau alikuwepo Samson ila pia alikuwepo Delilahh..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutojitambua kwenyewe ni pale dume zima linampigia magoti mwanamke siku ya engagement,ukute hata bikra hana
Soma bibleThibitisha kuwa Mungu ameumba wanawake wengi kuliko wanaume.
Kwa takwimu.
Nakupenda ulivyonyooka kama rula.Yale mambo lazima friction mkuu
Bahati nzuri sijawahi kuwa falla hii ni jf soma pita tu mkuu.Sir, expectations is the root of all disappointment. Huku ni mitandaoni usisahua... Anonymous Forum
😘Nakupenda ulivyonyooka kama rula.
Wanawake wote wangekua wakweli kama wewe.....
The Alpha Male concept.Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na bible pia science/psychology inakubaliana na hilo, mwanaume anajiona mkamilifu zaidi pale anapoweza kumtawala (sio kimabavu), kumuongoza na kumuhudumia mwanamke na mwanamke anajisikia amani na usalama zaidi anapopata mwanaume anayeweza kusimamia misingi ya uanaume wake yaani kutawala, kuongoza na kuhudumia .
Uzi una shule kubwa sana
Unaijuwa shughuri ya K-Vant au unaropoka tu?Naongeza list :
- Mateja
- Walevi
Mungu alimuumba Adam kwa mfano wake, baadaye Mungu ndio akamuumba Eva kutoka ubavuni mwa Adam.Thibitisha kuwa Mungu ameumba wanawake wengi kuliko wanaume.
Kwa takwimu.